Natafuta rafiki si kwa lengo la mapenzi

Natafuta rafiki si kwa lengo la mapenzi

mi ni 28 ila nataka rafiki wa kike wa faida mean ikitokea tuna ukame tuna ridhishana
 
Siyo anaweza. Huyo ni mdangaji hana lolote. Hivi unaweza ukawa na maisha mazuri usiwe na marafiki?
Do you know you are a Really Cool ,Funny and Sweet Person?

Daahhhh upo direct nausopepesa macho , Don't be Hasty ,thinking I'm mad. But I have just realized that 'True Friends' don't grow on trees.

Rafiki kama wewe huwezi kuacha rafikio apotee , rafiki kama wewe uonapo mwenzako anatope usoni nilazima umwambie , rafiki kama wewe uonapo mwenzako anauchafu mgongoni nilazima umfute.


Much to say......ila ........... niseme you deserve to be somebody's friend![emoji38]
 
Mimi ni dada natafuta rafiki ambaye ni kaka. Nasisitiza rafiki wa kiume aliyekomaa kila upande. Itapendeza akiwa umri kuanzia miaka 40. Sihitaji mpenzi, na wala huyu hatakuwa mpenzi wangu ila atakuwa rafiki wa hali na mali.

Akiwa ameenda shule itakuwa vema maana ataweza kunishauri. Mie pia nina madarasa ya kunitosha. Sijaolewa na sifikirii kuolewa maana nina maisha yangu tayari.

Kama ameoa ahakikishe mkewe ni mwelewa, mambo ya kuanza kutumiwa message za vitisho sitaki.

Asiwe na tabia ya kuomba omba maana mie sina tabia hiyo.

Kama sijaeleweka swali ruksa na sio matusi na kejeli.
miaka 28 vipi kama ni urafiki tu, madarasa ninayo pia ya kutosha. ila nataka rafiki wa kike aliyenizid umri kama wew, ili anishauri mambo ya ya kiuchumi, kimahusiano na kitaaluma pia, na maisha yajayo(future life). Na urafiki wetu uwe wa kufa na kupona
 
Do you know you are a Really Cool ,Funny and Sweet Person?

Daahhhh upo direct nausopepesa macho , Don't be Hasty ,thinking I'm mad. But I have just realized that 'True Friends' don't grow on trees.

Rafiki kama wewe huwezi kuacha rafikio apotee , rafiki kama wewe uonapo mwenzako anatope usoni nilazima umwambie , rafiki kama wewe uonapo mwenzako anauchafu mgongoni nilazima umfute.


Much to say......ila ........... niseme you deserve to be somebody's friend![emoji38]
[emoji29] [emoji29] hivi kwa nn nilikimbia umande. Sijaambulia neno hata moja.
 
Hamna u rafiki kati ya mwanaume na mwanamke usinitafute ubaya.
Mtoa mada Mimi ni mke wa huyu na Nina wivu na siyo mwelewa pia
Teh teh tena akienda pm mlime kibuti kabisa.
Wengine wanadanga wanajidai wana maisha mzuri. [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]
Nakusalimu cute b cc sumbai
Dada shemeji......yani mnatuita sisi '
danga'

[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Mimi mzima dear. Upo powa?
Hahahahha hahahah nani anataka Mume wake akadangwe.
Umejua kunichekesha.
Hahahahha hahahah.
Siku hizi tunadanga na kudangwa kisomi.
Narudia tena sumbai akienda pm kudangwa Lima kibutii.
Nipo fresh kabaiyser
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kibuti??? Thubutuuuuu.
Uzuri ananijua. Mimi si mgeni kwake
Si urafiki wa kawaida. Mama p
 
Dada shemeji......yani mnatuita sisi '
danga'

[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kibuti??? Thubutuuuuu. Si urafiki wa kawaida. Mama p
Baba P wangu nakupenda sana.
Usiunyanyase moyo wangu Mimi sitaki huo u rafiki.
 
Back
Top Bottom