Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
KhaaaaSisi ni marafiki automatic hamna aliyeomba urafiki.
But wewe si ni mbabuu haina shidaa
Unamruhusu awe rafiki wa mleta mada?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KhaaaaSisi ni marafiki automatic hamna aliyeomba urafiki.
But wewe si ni mbabuu haina shidaa
Hebu agiza kinywajiSifutiii.
No retreat no surrender
Hahahaha mchumba unakaba balaa....Huyo hana madhara! Urafiki unakuja automatically!!
Kwahiyo wewe ni adui yangu?Hakuna urafiki wa mwanamke na mwanaume!!!
Naona ndo umetokea pm... Pamoja na kukuonya ulienda kwa nguvu!!Hahahaha mchumba unakaba balaa....
Rafiki kipenzi, mchepuko !!! Una swali?!Kwahiyo wewe ni adui yangu?
UlianzaHahahaha mchumba unakaba balaa....
Weitaaaaa leta mbegeee chubuku nyingineee.Hebu agiza kinywaji
Akadangwe? Hiyo ni future impossibleKhaaaa
Unamruhusu awe rafiki wa mleta mada?!
Ha ha haYeah....!
Msilinde saana. Si unajua hata beki huwa atleast wanaachia achia magol
Hahhaa....Astaghafirulilah... nimefanya nini tena mimi babu yenu?
Hiyo imani tuuu. Mbona mimi nawewe tu marafiki.Hakuna urafiki wa mwanamke na mwanaume!!!
[emoji8] [emoji8]Ha ha ha
HahahaWeitaaaaa leta mbegeee chubuku nyingineee.
Nakazia tena na tenaAkadangwe? Hiyo ni future impossible
[emoji23][emoji23] huyu babu hafaiUlianza
Mchepuko
Leo mchumba
Kesho kutwa
Babu anataka kutest mitambo yake kama bado inafanya kazi
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kwakweli urafiki wangu na Shunie wa sasa hivi ni wa afya sana, hauna maumivu. Akitaka kwenda kwenye foleni zake namwambia tu , nenda rafiki ila uwe mwangalifu. I will be there when you need someone to talk to. Sina wivu tena kwa sababu we are just friends. Imebaki tu jina Baba Yeyoo na Mama Yeyoo.
Mh we baba yeyoo jaman si ulinipa talaka mbele ya sakayo na we ukapata mabebez kwenye uzi wenu wa usiku wa mananeJamani
Umeongea kwa hisia sana!!