Natafuta rafiki si kwa lengo la mapenzi

Natafuta rafiki si kwa lengo la mapenzi

Kwakweli urafiki wangu na Shunie wa sasa hivi ni wa afya sana, hauna maumivu. Akitaka kwenda kwenye foleni zake namwambia tu , nenda rafiki ila uwe mwangalifu. I will be there when you need someone to talk to. Sina wivu tena kwa sababu we are just friends. Imebaki tu jina Baba Yeyoo na Mama Yeyoo.
Jamani
Umeongea kwa hisia sana!!
Mh we baba yeyoo jaman si ulinipa talaka mbele ya sakayo na we ukapata mabebez kwenye uzi wenu wa usiku wa manane
 
Back
Top Bottom