nipm nipo online sasa hiviHabari taifa la Mungu.
Mimi ni jinsia ya Ke, miaka 29, muajiriwa katika Asasi ya kiraia, natafuta rafiki wa faida (friend with benefit)
Awe angalau mrefu, kabila lolote,
Umri miaka 33 na kuendelea,
Awe amejiajiri au ameajiriwa.
Kama upo interested njoo PM tuyajenge huko.
Nina 25,vipi nije PM?Habari taifa la Mungu.
Mimi ni jinsia ya Ke, miaka 29, muajiriwa katika Asasi ya kiraia, natafuta rafiki wa faida (friend with benefit)
Awe angalau mrefu, kabila lolote,
Umri miaka 33 na kuendelea,
Awe amejiajiri au ameajiriwa.
Kama upo interested njoo PM tuyajenge huko.
ni viumbe wanaopotea kwa kasi ya ajabuSikuizi waume wanatafutwa sana
Kamaanisha me sema kazunguka kusema anataka mwanaume/bwana/Kwa nini rafiki wa faida awe na masharti kama ya urefu?lam so sorry,are you a lesbian?
Hujui wanaojiunga karibuni wengi wanakuja kutafuta wapenzi? Inawezekana pia wapo wa zamani wanatumia ID mpya kupata mabebezYou can't be serious.
You have only two weeks since you joined , then leo unataka friend wa faida.
hiyo confidence umeitoa wapi. .??
by the way me ni shortii and niko at early 20's. hatuwezi Match
huyu atakuwa wa zamani Mkuu sema kaja na ID mpya tu.Hujui wanaojiunga karibuni wengi wanakuja kutafuta wapenzi? Inawezekana pia wapo wa zamani wanatumia ID mpya kupata mabebez