Natafuta rafiki wa faida

Natafuta rafiki wa faida

tukinao

Member
Joined
Feb 17, 2018
Posts
59
Reaction score
114
Habari taifa la Mungu.

Mimi ni jinsia ya Ke, miaka 29, muajiriwa katika Asasi ya kiraia, natafuta rafiki wa faida (friend with benefit)
Awe angalau mrefu, kabila lolote,
Umri miaka 33 na kuendelea,
Awe amejiajiri au ameajiriwa.

Kama upo interested njoo PM tuyajenge huko.
 
Mimi ni meneja kwenye Asasi ya Kiraia mpango wa uwajibikaji katika kulinda na kutetea haki za Makundi ya watu yasiyopewa Kipaumbele nipigie utafaidika 0766940499
 
You can't be serious.
You have only two weeks since you joined , then leo unataka friend wa faida.
hiyo confidence umeitoa wapi. .??
by the way me ni shortii and niko at early 20's. hatuwezi Match
 
Kwa nini rafiki wa faida awe na masharti kama ya urefu?lam so sorry,are you a lesbian?
 
Habari taifa la Mungu.

Mimi ni jinsia ya Ke, miaka 29, muajiriwa katika Asasi ya kiraia, natafuta rafiki wa faida (friend with benefit)
Awe angalau mrefu, kabila lolote,
Umri miaka 33 na kuendelea,
Awe amejiajiri au ameajiriwa.

Kama upo interested njoo PM tuyajenge huko.
nipm nipo online sasa hivi
 
Nina 25,vipi nije PM?
 
You can't be serious.
You have only two weeks since you joined , then leo unataka friend wa faida.
hiyo confidence umeitoa wapi. .??
by the way me ni shortii and niko at early 20's. hatuwezi Match
Hujui wanaojiunga karibuni wengi wanakuja kutafuta wapenzi? Inawezekana pia wapo wa zamani wanatumia ID mpya kupata mabebez
 
Hujui wanaojiunga karibuni wengi wanakuja kutafuta wapenzi? Inawezekana pia wapo wa zamani wanatumia ID mpya kupata mabebez
huyu atakuwa wa zamani Mkuu sema kaja na ID mpya tu.
New member hawezi kuwa na confidence ya vile.
 
Back
Top Bottom