Natafuta rafiki wa karibu

Natafuta rafiki wa karibu

steveslove

Senior Member
Joined
Jul 18, 2012
Posts
110
Reaction score
32
Habari wana JF,

Ningependa kuwa na rafiki wa karibu (sio wa kimapenzi) ambae naweza kumwamini kwa kila jambo langu, kama unakidhi vitu vifuatavyo naomba uniPM
1. Sichagui jinsia jina dini kabila
2. Kwa dini yoyote uliyonayo uwe una hofu ya Mungu
3. Umri 32+
4. Usiwe umeoa au kuolewa ila kama una mtoto au watoto sawa
5. Uwe unaweza kutunza siri

Asanteni
 
Temptations (avatar yako)

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kwanini kuna kigezo cha umri?kwahio tulokuwa under 32 hatuqualify?
 
Siri gani za kutunza hizo? Acha usanii, we ni wale wale waliochakazwa mpaka imelegea.
 
Back
Top Bottom