Natafuta rafiki wa kike asiyekula nyama

Watakuuliza asiyekula nyama ipi.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
vigezo viiingi ww sema unatafuta malaya la jf likufuate pm muyajenge....
mtu asiekula nyama huyo naye ana mtindio wa ubongo maana unafuata tamaduni za kizungu na kuzifia ila dini zao hutaki kuzifia rasta wa zamani walikua na akili wa sasa vilaza watupu
 
Watakuuliza asiyekula nyama ipi.

Una uelewa mdogo sana wa mambo. Kutokula nyama ndo uhalisia wa maisha ya mtu mweusi
 
...........na awe tayari kula cha Uarushani!
 
Kwani akila wew unadhurika na nn?, Wew kama huli yeye si atakupkia milenda yako. Mashart ya kipumbav inamaana mkiish nae ndugu wanaotumia nyama wasije au wasipikiwe?
Brother don't attack me,I didn't attack you. Sipendi interaction na mtu wa tamaduni tofauti na tamaduni yangu ndo maana nimesema asiyekula nyama
Kama unakula nyama pita kushoto
 
Nielewe,sìtafuti mtu anayekula nyama ili nije nimuachishe. Natafuta mwenye utamaduni huo
Ukikosa uelewa wa tamaduni za mtu mweusi ndo utaniita bahiri,kutokula nyama haina maana sina kitu,ni utamaduni niliokuwa nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…