Natafuta rafiki wa kike asiyekula nyama

Natafuta rafiki wa kike asiyekula nyama

Kuna Watu wengi sana hawali Nyama na mleta mada anatafuta watu wa aina hiyo, kila lakheri kwako.
 
Nyuzi kama hizi huwa nazipitia baada ya stress za siku!!! kwa kweli huwa zinaniburudisha kwa koment mbalimbali.... nimechekaaaaaaaa nimetoa siteresi
 
huna lolote eti asiyekula nyama wew ni bahili
umepiga mahesabu yako huko bei ya nyama
kwa Sasa ipo juu hutaweza gharama ukaona uje na swaga za
asiyekula nyama🤣🤣🤣 mfyuuuuu
ila kweli nyama si nzuri kiafya tunatakiwa tule mboga mboga na samaki😉
 
huna lolote eti asiyekula nyama wew ni bahili
umepiga mahesabu yako huko bei ya nyama
kwa Sasa ipo juu hutaweza gharama ukaona uje na swaga za
asiyekula nyama🤣🤣🤣 mfyuuuuu
ila kweli nyama si nzuri kiafya tunatakiwa tule mboga mboga na samaki😉
😃😃😃
 
Kwani akila wew unadhurika na nn?, Wew kama huli yeye si atakupkia milenda yako. Mashart ya kipumbav inamaana mkiish nae ndugu wanaotumia nyama wasije au wasipikiwe?
Eti Hili chalioo la Arusha mibangi inamfuruga Sasa huli nyma kwamba ndugu nao wasile madogo wa Arusha acheni mibangi
 
Nielewe,sìtafuti mtu anayekula nyama ili nije nimuachishe. Natafuta mwenye utamaduni huo
Ukikosa uelewa wa tamaduni za mtu mweusi ndo utaniita bahiri.
Kwa hyo wakija dunguzenu hatakula kisa niniy hamli
 
Back
Top Bottom