Natafuta rafiki wa kike asiyekula nyama

Natafuta rafiki wa kike asiyekula nyama

Kijana acha ubahili,akila yeye wewe unadhurika na na nini?...yaan mtoto wa watu umlishe tembele daily amekuwa mbuzi?...yaan kununua nyama nusu inakushinda?...wewe huna uwezo wa kuishi na mke ishi peke yako nyang'au weee!
 
Mimi natafuta mwanamke umri wowote, hata akiwa na watoto sio mbaya, kabila lolote Ila tu asiwe na asijaribu na asithubutu kuniomba hela.
 
Back
Top Bottom