jomasi0002
Member
- Apr 3, 2018
- 45
- 24
Unataka 'handsome', wewe chura ipo?[emoji32]
[emoji23][emoji23][emoji23]Naomba mods wacount huyu behaviorist amelitamka hili neno chura mara ngapi?
Hv handsome yupo vp.je wewe ni handsome unapenda kuwa na msichana ambaye utapenda kumuita my girlfriend or mchumba?
umepata hapa .
vigezo ni virahisi sana.
uwe unapenda kunijali kunimbembeleza na kujua mwanamke anataka nini?
mchapa kazi .
kikubwa uwe handsome jamani.
kuanzia sauti ya mpaka nini unajua kumshawishi mtu.
mimi nahitaji mtu anayejua umuhimu wamwanamke mimi ni mzuri pia.
mimi napenda ujichukue .
unipende nidekeee.
elimu atleast ujue kingereza jamani.
miaka 32-35 basi .
uwe na kazi siwezi kutunza mtu.
uwe umejipanga.
uwazi ni muhimu.
napenda mtu ambaye tunaweza kujenga sio kubomoa urafiki wetu.
sipendi mchoyo namuogopa usije.
napenda single means hajaoa wala kuachwa.
anatafuta .
nimeona nifunguke
je wewe ni handsome unapenda kuwa na msichana ambaye utapenda kumuita my girlfriend or mchumba?