Ooh thank you mkuu, ila inabidi mleta uzi apate kwanza wakimtosha ndiyo atupasie na sisi, ngoja nimuulize kama keshapata nijipatie na mimi.
ππ kigezo kimoja sina hapo
Mbona kama watu tofauti hawa 27 years kwa 30s mkuu
Mkuu unavyopika kitimoto vizuri huwezi kukosa mchumba!Nimefeli tu hapo kwenye jofu ya mungu...kwasababu hata mungu mwenyewe siamini uwepo wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani ulinikwepa kwa kigezo cha magazeti leo nakukuta huku unaomba kupasiwa πNi binti mrembo kweli kama hiyo I'd yako?, all the best ukipata wengi nipasie na mimi hata 1 tu
Hayo mambo ya umri yanaongeleka tu mzee πππ kigezo kimoja sina hapo
Umri nimekidhi tatizo anataka anayeishi dsmHayo mambo ya umri yanaongeleka tu mzee π
Kwani wewe ni Mlima au mti mzee?Umri nimekidhi tatizo anataka anayeishi dsm
ππndiyo naomba assist ila magazeti yako palepale, kama uko tayari sema suu!Jamani ulinikwepa kwa kigezo cha magazeti leo nakukuta huku unaomba kupasiwa π
Ngoja nimskilizie queen leo akija, akinizingua nitahamia darKwani wewe ni Mlima au mti mzee?
Duh, unaamini pombe tu mkuuπNimefeli tu hapo kwenye jofu ya mungu...kwasababu hata mungu mwenyewe siamini uwepo wake
Sent using Jamii Forums mobile app
πππππndiyo naomba assist ila magazeti yako palepale, kama uko tayari sema suu!
CV yangu:
Naandika gazeti refu hasa ukiniudhiπ
Ni mrefu mnoo
Black
Kibonge
30s
Diploma
ππππππππNgoja nimskilizie queen leo akija, akinizingua nitahamia dar
Usisubiri pasa njoo kwanguπππNi binti mrembo kweli kama hiyo I'd yako?, all the best ukipata wengi nipasie na mimi hata 1 tu
Hahaha kaniacha mkuu...kaniambia niendelee na pombe ndio cha muhimu kwanguππMkuu unavyopika kitimoto vizuri huwezi kukosa mchumba!
Na sayansiDuh, unaamini pombe tu mkuuπ