Jimmy19823
Member
- Jun 9, 2009
- 28
- 8
Hello wana JF, natumaini muko wazima.
Mie ni kijana mvulana, ninatafuta rafiki wa kike ambaye tunaweza kuanzia hapo kimahusiano mpaka kutimiza malengo ya kuishi pamoja kimaisha.
Msichana awe na sifa angalau zifuatazo.
Imani: Awe mcha Mungu. God fearing lady
Umri: miaka 22-28
Tabia: awe mwenye tabia nzuri, mwenye heshima, mwenye haiba, smart, mwenye upendo wa kweli, mchangamfu,
Elimu: Awe na elimu kuanzia Diploma, hata kama anasoma degree mwaka wa mwisho pia itafaa. Awe na hamu ya kujiendeleza kimasomo mbeleni
Umbile: Mrefu wa wastani, asiwe mnene sana, awe simple.
Location: Mimi nakaa na kufanya kazi Dodoma, awe anakaa Dodoma au mikoa ya karibu na dodoma, au awe flexible hasa katika kuja dodoma.
Kama uko interested, nitumie details zako kwenye e-mail hii luminge82@yahoo.com . Nitakujibu mara moja nipatapo email yako.
Nawasilisha.