Habari za leo wanajamii forum, Mimi ni kijana wa miaka 28, naishi Dar, Nina degree moja ya utawala, natafuta rafiki wa kike kuanzaia miaka 21-28 ,elimu yake kuanzia kidato cha nne na kuendelea, awe serious, wenye tabia nzuri na asiwe na dharau, nadhani kwa mungu hakuna aliye kamilika japokuwa tabia zinatofautina, kwa maelezo zaidi mhassani84@yahoo.com. mungu awabariki wote, naomba kuwasilisha.
Unamtafuta JF?
Ni rafiki wa mahusiaono, japokuwa mpaka tujuane vizuri tabia, kwasababu nia yangu na madhumuni ni juishi pamoja, na siyo kumpotezea mtu muda wake.
bob mazishi tu wewe, mchumba wa kuoa unamtafuta kwenye internet....??!!! mpaka unamaliza chuo hukuona yeyote?
Mimi ni muslam but sichagui dini naangalia tabia, nafanya kazi halali inayoniingizia kipato, nipo seriuos sijui wewe?