Natafuta rafiki wa kiume/ mchumba/ mume

Natafuta rafiki wa kiume/ mchumba/ mume

Ohoo wazee wamefikiwa sasa haya wale wenye kuhitaj wa umri mdog yupo bint wawatu namfaham ni bikra pure ana miaka23 ukihitaj connection connection njoo pm nikuunganishie urafiki utupe ndoano!!!
 
Mi ni mwanamke mrembo mwenye Utu sana,Msikivu,Mwenye Upendo,Mwanamke ambae nathamini sana Familia, mwanamke ninaependa Maendeleo, Mama wa mtoto mmoja

Miaka 34
Mfanyabiashara
Mkristo

Nina jitegemea kwa kila kitu naishi Dar na mwanangu na dada wa kazi.

Nipo Tayari Sasa kwa kuanzisha Urafiki na baadae kua wapenzi had Ndoa Na mtu Sahihi kwangu na mimi niwe Sahihi kwake.

Umri kuanzia 35-48 Akiwa na mtoto Au watoto haina shida kabisa nitalea/kuwalea kwa upendo mkubwa sana
Asiwe Mlevi

Awe na hofu ya Mungu,mwenye Kazi ya kumwingizia kipato,mwaminifu na mwenye Mahaba kama yote.

Ni PM kama tu Upo serious please
Ningekua niko Tanzania ningekutafuta. Bahati mbaya niko nje ya nchi na sina mpango kurudi mpaka miaka 10.
 
Mi ni mwanamke mrembo mwenye Utu sana,Msikivu,Mwenye Upendo,Mwanamke ambae nathamini sana Familia, mwanamke ninaependa Maendeleo, Mama wa mtoto mmoja

Miaka 34
Mfanyabiashara
Mkristo

Nina jitegemea kwa kila kitu naishi Dar na mwanangu na dada wa kazi.

Nipo Tayari Sasa kwa kuanzisha Urafiki na baadae kua wapenzi had Ndoa Na mtu Sahihi kwangu na mimi niwe Sahihi kwake.

Umri kuanzia 35-48 Akiwa na mtoto Au watoto haina shida kabisa nitalea/kuwalea kwa upendo mkubwa sana
Asiwe Mlevi

Awe na hofu ya Mungu,mwenye Kazi ya kumwingizia kipato,mwaminifu na mwenye Mahaba kama yote.

Ni PM kama tu Upo serious please
Vp! Huko kwa waziri mkuu kumeshajaa
 
Umri huo na umeweka masharti

Hupati MTU zaidi utatumika tu
 
Umenikumbusha miaka ya 70 nikiwa kijana wa miaka 20 nasoma ndio tulikiwa na Pen pals. Ila walikuwa hawana maneno haya
1. Urafiki hadi ndoa
2. Nina mtoto
3. Awe na kipato
4. Awe na Mahaba
Kipindi chetu
1.Mtoto utamkuta huko huko
2. Ndoa unaikuta huko huko
3. Kipato unakikuta huko huko
4. MAHABA yote unakuta huko . Sasa mpaka uende navyo.

Mbombo ngafu mwalafyiale
 
Back
Top Bottom