Natafuta rafiki wa kiume/ mchumba/ mume

Natafuta rafiki wa kiume/ mchumba/ mume

Upate hitaji la moyo wako na ufikie lengo maana at your age 34 yrs kutokuwa na MTU inaleta tafakarishi.
 
Mi ni mwanamke mrembo mwenye Utu sana,Msikivu,Mwenye Upendo,Mwanamke ambae nathamini sana Familia, mwanamke ninaependa Maendeleo, Mama wa mtoto mmoja

Miaka 34
Mfanyabiashara
Mkristo

Nina jitegemea kwa kila kitu naishi Dar na mwanangu na dada wa kazi.

Nipo Tayari Sasa kwa kuanzisha Urafiki na baadae kua wapenzi had Ndoa Na mtu Sahihi kwangu na mimi niwe Sahihi kwake.

Umri kuanzia 35-48 Akiwa na mtoto Au watoto haina shida kabisa nitalea/kuwalea kwa upendo mkubwa sana
Asiwe Mlevi

Awe na hofu ya Mungu,mwenye Kazi ya kumwingizia kipato,mwaminifu na mwenye Mahaba kama yote.

Ni PM kama tu Upo serious please
Niko tayari, tuma namba yako
 
Back
Top Bottom