Natafuta rafiki wa kiume/ mchumba/ mume

Ohoo wazee wamefikiwa sasa haya wale wenye kuhitaj wa umri mdog yupo bint wawatu namfaham ni bikra pure ana miaka23 ukihitaj connection connection njoo pm nikuunganishie urafiki utupe ndoano!!!
 
Ningekua niko Tanzania ningekutafuta. Bahati mbaya niko nje ya nchi na sina mpango kurudi mpaka miaka 10.
 
Vp! Huko kwa waziri mkuu kumeshajaa
 
Umri huo na umeweka masharti

Hupati MTU zaidi utatumika tu
 
Umenikumbusha miaka ya 70 nikiwa kijana wa miaka 20 nasoma ndio tulikiwa na Pen pals. Ila walikuwa hawana maneno haya
1. Urafiki hadi ndoa
2. Nina mtoto
3. Awe na kipato
4. Awe na Mahaba
Kipindi chetu
1.Mtoto utamkuta huko huko
2. Ndoa unaikuta huko huko
3. Kipato unakikuta huko huko
4. MAHABA yote unakuta huko . Sasa mpaka uende navyo.

Mbombo ngafu mwalafyiale
 
Kama hakuna atakaye kuchukua itabidi nijitwike hilo jukumu
 
Ukikosa kabisa, njoo hapa tupate moja moto moja baridi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…