Natafuta rafiki wa kiume

Natafuta rafiki wa kiume

Naomba niwe mpnz 2ako kbisa Alma S naona watu wanashindwa kunyoosha maelezo
 
Habari. Natafuta rafiki wa kiume (awe na miaka 32 na kuendelea) kwa ajili ya kubadilishana mawazo. Mimi ni wakike miaka yangu 32. Aliyetayari PM tafadhali

Khaaa!!! Sasa mkibadilishana mawazo si utakuwa unawaza kama mwanaume wakati wewe kidosho?
 
...umri na jinsia yako wala hata sio vigezo...thibitisha maturity yako humu kwa michango yako,then marafiki watakuja tu otomatikale!
..usikute ni member mzoefu unataka kuwasorora watu tu!
 
Hawa wanaotafuta mtandaoni, ninawacwac nao coz mademu warembo hawakosi marafiki. Labda kutoss die tu
 
Mkuu....
Yaani wewe unawazaga mgegedo tu....[emoji23] [emoji23]
Urafiki wa mwanamke na mwanaume normally ni juu ya migegedo tu huyu anayetafuta mwanaume wa kubadilishana mawazo ataleta shida tuu..
 
Urafiki wa mwanamke na mwanaume normally ni juu ya migegedo tu huyu anayetafuta mwanaume wa kubadilishana mawazo ataleta shida tuu..
Ohooooo......[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Basi sawa mkuu
 
Back
Top Bottom