Natafuta rafiki wa kiume

Natafuta rafiki wa kiume

Habari. Natafuta rafiki wa kiume (awe na miaka 32 na kuendelea) kwa ajili ya kubadilishana mawazo. Mimi ni wakike miaka yangu 32. Aliyetayari PM tafadhali
Kapande treni utapata marafiki kibao, humu utaambulia wanaume suruali
 
Kubadilishana mawazo lazima awe amekuzidi umri ? We huna rafiki mwenye umri mdogo kuliko wewe ??? Mambo ya kizamani hayo, we sema umeachika unatafuta bwana.
 
Naomba kuwa rafiki pia ALMA S
 
Habari. Natafuta rafiki wa kiume (awe na miaka 32 na kuendelea) kwa ajili ya kubadilishana mawazo. Mimi ni wakike miaka yangu 32. Aliyetayari PM tafadhali

Tunawasiliana kwa njia ya barua pepe au?!
 
Back
Top Bottom