Natafuta rafiki wa kiume

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
awe na sifa zozote isipokuwa
asiwe ameoa ila awe mtu mzima mwenzangu .greater or equal to 35! na awe na mvuto sio wote wabaya tunakaa sehemu moja.
majukumu yake
kuwasiliana na mimi mara kwa mara
kutoka out ijumaa jmosi na jpili
kutembeleana
kusaidiana
kufanya mazoezi pamoja ikiwezekana
urafiki huu sio wa kimapenzi . kama unataka mpenzi naweza kukusaidia kutafuta .
 
tuna apply wapi fursa hii
 
hunipati nina vigezo vyote ila hapo pa kubania papuchi tu
 


kuwa muwazi weka nakufanya mapenzi
 
Utakua humtendei haki rafiki yako... Hutaki USB point yako itumike,.. Humtaki rafiki yako awe na mke... Mtoko ijumaa, jmosi na jpili.. Hutaki wifi?.... IKIWEZEKANA... asiwe rafiki wa mapenzi... Na ISIPOWEZEKANA.
 
Hizi sifa si za rafiki.

Labda ni mume au mpenzi.

Yani akufanyie yote hayo halafu akuache tu.

Inawezekana kweli?.

Huenda unatafuta mume unaona aibu kusema.

Sema mama ili jukwaa huru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…