Natafuta rafiki wa kiume

Natafuta rafiki wa kiume

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Jamani dada wa watu keshasema hana haja na hayo mambo asee!!anyway umefanya nkacheka asee.Shukrani!!!
Anataka kaka wa hiari.
Jaman hata mimi nilipokuwa sijawa na wife, kuna kipindi nilikuwa namiss kuongea na mwanamke. Hapo ntaanza kupiga simu mpaka nimpate wa kuongea nae hata saa zima.
Sometime naset appointment na dem tunapiga story tuu. Yaan ni muhimu sana kubadilisha sauti tunazosikia si lazima mapenzi
 
Back
Top Bottom