Natafuta rafiki wa kiume

Natafuta rafiki wa kiume

hunipati nina vigezo vyote ila hapo pa kubania papuchi tu
Haya mambo hayana formula unaweza kujikuta kakuachia hata upenyo kidogo wa kupapasa. Mkaenda enda kidogo mwisho wa siku ukaachiwa mlango wazi upite
 
kwani kuna tatizo gani kama marafiki? kikubwa kweli uwe huna nia nae.. kwani wewe hujawahi kukaa na waume za watu? hufanyi kazi nao? usipoweka mawazo machafu rohoni ni sawa tu.
sio haki tu mimi sitaki
 
Hakuna mwanaume wa 35yrs and above anayeweza kupoteza mda wake hasa wa weekends kwa mwanamke ambaye hamgongi. Hapo umechemsha... Kama unataka wa dizaini hiyo, nenda kwenye chuo cha mapadri kuna mabrother wengi tu kule ambao wanaweza kukupa kampani...
Hii ni njia nyingine ya kutongoza,yeye mwenyewe anajua hakuna mwanaume wa hivo,yaani niache kutoka weekend na bby wangu nikamtoe mtu amabye hata akiwa anabadili nguo mi nafumba macho huko mazoezini,Aisee labda shoga
 
awe na sifa zozote isipokuwa
asiwe ameoa ila awe mtu mzima mwenzangu .greater or equal to 35! na awe na mvuto sio wote wabaya tunakaa sehemu moja.
majukumu yake
kuwasiliana na mimi mara kwa mara
kutoka out ijumaa jmosi na jpili
kutembeleana
kusaidiana
kufanya mazoezi pamoja ikiwezekana
urafiki huu sio wa kimapenzi . kama unataka mpenzi naweza kukusaidia kutafuta .
Kwa ww, una miaka mingapi?
 
Embu njoo miss wangu miss dunia wangu umepata rafik wa kweli kbs
 
awe na sifa zozote isipokuwa
asiwe ameoa ila awe mtu mzima mwenzangu .greater or equal to 35! na awe na mvuto sio wote wabaya tunakaa sehemu moja.
majukumu yake
kuwasiliana na mimi mara kwa mara
kutoka out ijumaa jmosi na jpili
kutembeleana
kusaidiana
kufanya mazoezi pamoja ikiwezekana
urafiki huu sio wa kimapenzi . kama unataka mpenzi naweza kukusaidia kutafuta .
Njoo nipo tayari ila kwenye mvuto sina mvuto kbs
 
awe na sifa zozote isipokuwa
asiwe ameoa ila awe mtu mzima mwenzangu .greater or equal to 35! na awe na mvuto sio wote wabaya tunakaa sehemu moja.
majukumu yake
kuwasiliana na mimi mara kwa mara
kutoka out ijumaa jmosi na jpili
kutembeleana
kusaidiana
kufanya mazoezi pamoja ikiwezekana
urafiki huu sio wa kimapenzi . kama unataka mpenzi naweza kukusaidia kutafuta .
Mkuu naomba uje pm tuchonge. Nimekubali tuwe na huo urafiki. Seriously nakusubili pm
 
Kwa Maelezo hayo papuchi ni automatic wenye umri wenzake tushaelewa...

Nilishamuambia one day kuwa wanaume hawakwepeki... You can run you can hide but you can't escape my love....
Ops love to men
 
Ha haaa.
Nimekuja kugundua, nyuzi zote za watu wanaotafuta marafiki, mme au mke, huwa ni waongo tu.
Hakuna aliyeserious.
Yani ni nyuzi ambazo watu wanaandika ili kuondoa stress zao za mikikimikiki ya kila siku.

Never waste your time, unless you want to refresh your mind in these threads.
 
awe na sifa zozote isipokuwa
asiwe ameoa ila awe mtu mzima mwenzangu .greater or equal to 35! na awe na mvuto sio wote wabaya tunakaa sehemu moja.
majukumu yake
kuwasiliana na mimi mara kwa mara
kutoka out ijumaa jmosi na jpili
kutembeleana
kusaidiana
kufanya mazoezi pamoja ikiwezekana
urafiki huu sio wa kimapenzi . kama unataka mpenzi naweza kukusaidia kutafuta .
Sasa mimi nina miaka 22 na kwa kuwa ni urafiki wa kawaida hakuna tatizo.Je utanisaidiaje hapo nahisi kuna mengi ya kujifunza kwako
 
Back
Top Bottom