Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,558
- 12,335
Kumbe jua limeshazama [emoji3] 35?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
upweke nao sio mzuri ata mtu wa kutaniana nae haunaHatimae umefunguka
Wanaume mkuje huku
Umeonaeeupweke nao sio mzuri ata mtu wa kutaniana nae hauna
Usicheke mwenzako ana upweke.Hahhahahah
Nipo hapa mremboawe na sifa zozote isipokuwa
asiwe ameoa ila awe mtu mzima mwenzangu .greater or equal to 35! na awe na mvuto sio wote wabaya tunakaa sehemu moja.
majukumu yake
kuwasiliana na mimi mara kwa mara
kutoka out ijumaa jmosi na jpili
kutembeleana
kusaidiana
kufanya mazoezi pamoja ikiwezekana
urafiki huu sio wa kimapenzi . kama unataka mpenzi naweza kukusaidia kutafuta .
Huyo rafiki yako ni tofauti na Le Mutuz Nation?Kuna chalii yangu anaikimiza 50 yuko single bado, naye anatafuta rafiki mwanamke kama vipi nikuunganishe.
Itabidi ukubaliane tu na miss natafuta,kuwa MUPENZI MTAZAMAJIKuwa mpenzi mtazamaji sio swala jepesi hvyo
Huyu yuko njema, siyo kama Le Nation.Huyo rafiki yako ni tofauti na Le Mutuz Nation?
HahahahaWenye vigezo jamani dodo hiloooo chini ya mnazi. Changamkeni.
Greater or equal to 35......kwahiyo ww ni above 30....?
Go straight kuwa unatafuta mume....uoga wako umasikini/kufeli kwako
Ha ha ha ha kushika mapembe hapana aisee kwa kwel acha tu wengne waende maana mie siwez urafik wa hvyoItabidi ukubaliane tu na miss natafuta,kuwa MUPENZI MTAZAMAJI
Hamna kigezo cha vyeti?awe na sifa zozote isipokuwa
asiwe ameoa ila awe mtu mzima mwenzangu .greater or equal to 35! na awe na mvuto sio wote wabaya tunakaa sehemu moja.
majukumu yake
kuwasiliana na mimi mara kwa mara
kutoka out ijumaa jmosi na jpili
kutembeleana
kusaidiana
kufanya mazoezi pamoja ikiwezekana
urafiki huu sio wa kimapenzi . kama unataka mpenzi naweza kukusaidia kutafuta .
hahhahah halaf upweke ni ugonjwa mbaya sanaUsicheke mwenzako ana upweke.
Hahahahahh! Kwel bana awe straightGreater or equal to 35......kwahiyo ww ni above 30....?
Go straight kuwa unatafuta mume....uoga wako umasikini/kufeli kwako
MmhHa ha ha ha kushika mapembe hapana aisee kwa kwel acha tu wengne waende maana mie siwez urafik wa hvyo