Natafuta rafiki wa kiume

Hakuna mwanaume wa 35yrs and above anayeweza kupoteza mda wake hasa wa weekends kwa mwanamke ambaye hamgongi. Hapo umechemsha... Kama unataka wa dizaini hiyo, nenda kwenye chuo cha mapadri kuna mabrother wengi tu kule ambao wanaweza kukupa kampani...
 
Men and Women Can't Be "Just Friends" .Labda huko ColHimJ
 
Nakutaka@miss natafuta,tuyajenge nikutulize
 
Nipo hapa mrembo
 
Rafiki wa kweli ni yule...? wadau mmependelewa leo.
 
Hamna kigezo cha vyeti?
 
Mazoezi anayomaanisha hapo ni ya PAPUCHI.....wajanja ndio waelewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…