Natafuta rafiki wa kiume

vipi ma rasta man............tunaruhusiwa
 
Tafuta mvulana, ila kwetu wanaume no. Yaani nikutoe out kwa gharama zangu, halafu no mgegedo !? Kama ni mtihani, umepata sifuri.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Jamani dada wa watu keshasema hana haja na hayo mambo asee!!anyway umefanya nkacheka asee.Shukrani!!!
Anataka kaka wa hiari.
Jaman hata mimi nilipokuwa sijawa na wife, kuna kipindi nilikuwa namiss kuongea na mwanamke. Hapo ntaanza kupiga simu mpaka nimpate wa kuongea nae hata saa zima.
Sometime naset appointment na dem tunapiga story tuu. Yaan ni muhimu sana kubadilisha sauti tunazosikia si lazima mapenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…