Natafuta rafiki wa kiume

Natafuta rafiki wa kiume

Hata cc wa community health au ni CO,MD,lab na manurse
 
Tupe sifa zako kwanza.

Una kiuno nyigu?
Una msambwanda?
Guu la bia?
Ziwa konzi yaani Lile saa sita?
Macho ya goroli? na meupe
Sura ya mviringo?
Nywele za Masai?

Una shahada ngapi?
Una kazi?
Una gari [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]?
Una Nyumba?
Una mtoto?
Dini yako?

Jibu hayo Wana wajimwaye mwaye, isije ikawa mtu anaokotwa dodo chini ya mpapai
Akiwa na hivyo vyote hawezi ongea huo ujinga alioongea😄
 
Mwanaume mrefu mweusi anazimia tako je Lipo la kutosha au umekuja kutufokea mwenye kimbau mbau[emoji21]
 
Kuna siku nilienda training flan kuna huyo supervisor kidogo utaskia “kuweni systematic kama madaktari” mara kuweni funny kama oncologist flan... I was like wtf.leo na nakutana nayo tena
Inaboa mkuu. 😆
 
Nina miaka 26,
Mweusi.
Mrefu kiasi.
Elimu ()
Nahitaji rafiki wa kiume(kaka)
umri 28-32.
Elimu yake -Awe amesomea Afya,
pia awe mweusi na mrefu,
awe mcheshi na mchaMungu,
awe hajaoa.

Mwenye sifa Ani PM
hapa ndipo mnapofeli,nilidhani "atakayekupenda"...

useme TU unatafuta boifurendi,rafiki rafiki kwani huna wanaume uliosoma nao utotoni mpaka ukubwani!?mtaani kwenu!?[emoji23][emoji23]

nakutania TU ila kila la kheri kwa mwenye vigezo
 
Nina miaka 26,
Mweusi.
Mrefu kiasi.
Elimu ()
Nahitaji rafiki wa kiume(kaka)
umri 28-32.
Elimu yake -Awe amesomea Afya,
pia awe mweusi na mrefu,
awe mcheshi na mchaMungu,
awe hajaoa.

Mwenye sifa Ani PM
Nakuombea upate hitaji la moyo wako
 
Nina miaka 26,
Mweusi.
Mrefu kiasi.
Elimu ()
Nahitaji rafiki wa kiume(kaka)
umri 28-32.
Elimu yake -Awe amesomea Afya,
pia awe mweusi na mrefu,
awe mcheshi na mchaMungu,
awe hajaoa.

Mwenye sifa Ani PM
Kaka wako wa hiyari nipo na nimesomea "afya ya mapenzi"
Mrefu futi 7 kasoro🙄
 
Nina miaka 26,
Mweusi.
Mrefu kiasi.
Elimu ()
Nahitaji rafiki wa kiume(kaka)
umri 28-32.
Elimu yake -Awe amesomea Afya,
pia awe mweusi na mrefu,
awe mcheshi na mchaMungu,
awe hajaoa.

Mwenye sifa Ani PM
Sasa kwanini utafute kaka ambaye hajaoa kwani una mpango gani was Siri?
 
Mimi sio mweusi ila nitakua najipaka oil dear vipi nije dm[emoji1]
 
Nina miaka 26,
Mweusi.
Mrefu kiasi.
Elimu ()
Nahitaji rafiki wa kiume(kaka)
umri 28-32.
Elimu yake -Awe amesomea Afya,
pia awe mweusi na mrefu,
awe mcheshi na mchaMungu,
awe hajaoa.

Mwenye sifa Ani PM
Hapo kwenye kusoma afya ni kipengele😁
 
Mm nina sifa zote ila nimestaafu kazi yangu ya ukunga.
Karibu binti nikulee,niko na nakula pensheni tu.
 
Back
Top Bottom