Kama ulikuja kwa kujaribu kwann nisikuzingue??mnapenda kutingishia watu viberiti msio wajua.Nilie kuwa na muhitaji nishampata ukiona umezonguliwa basi tafuta wako Mimi siyo wako,kwenye mashindano sio lazima mshinde wote,anahitajika mshindi mmoja tu.Na asiyekubali kushindwa si mshindani sawaaAsanteh mkuu mana kanizingua PM.
We kiboko eti 35 mtoto wewe una 27 unajiona kizee, dunia simama nilishushe hili jaba na huu msalabaKm
Kama ulikuja kwa kujaribu kwann nisikuzingue??mnapenda kutingishia watu viberiti msio wajua.Nilie kuwa na muhitaji nishampata ukiona umezonguliwa basi tafuta wako Mimi siyo wako,kwenye mashindano sio lazima mshinde wote,anahitajika mshindi mmoja tu.Na asiyekubali kushindwa si mshindani sawaa
π Mbona nisha mpata anae jielewa?,ila Leo nimewaeza wambea πππUtafika muda utaanza kusema nahitaji anaeweza kupumua tu hapo ndio ushafika jioni na humuoni hata mmoja, nikutakie kila lakheri huko kwenye kubanjuliwa km koroshi
Umezengua hakuna uliemuweza kabisaπ Mbona nisha mpata anae jielewa?,ila Leo nimewaeza wambea πππ
Ingia Tinder au Grindr utakutana na wajaa nyegere wenzioMimi ni binti wa miaka 27,natafuta rafiki wa kiume.
SIFA NILIZO NAZO.π
Mimi ni mweupe, mrefu, mwembamba kiasi, elimu ya kawaida, mfanya biashara.
SIFA ZA RAFIKI WA KIUME ANAYE HITAJIKAπ.
(1)Awe mrefu
(2)Rangi yoyote.
(3)Dini awe mkristo au mwislam.
(4)Elimu form four kuendelea.
(5)umri kuanzia miaka 38-55
(6)Awe anajitegemea.
Kama unavigezo ivyo njoo PM na Kama haupo serious usije.
Watoto kuanzia miaka 35,34,33,30,29...kushuka chini jaman siwahitaji, narudia Tena siwahitaji.
Umesahau na pensiKiza kimetanda tule tujamaa tuvaa soksi za rangi rangi na sendo tumelamba asali umekuja kushtuka imekwisha yote,
ππ35 Yrs ni Mtoto, Akili yako Iko sawa ?
Afu Mwanamke mwembamba shule huna !
Hiyo dharau na jeuri unaitoa wapi ?
Kasome Kwanza na ule upate tacko
Miaka 10 baadae njo tena .
Nani amlelee Mwanaume mwingine mtoto!!
Kwamba k-lyn wa pili ππUnatafuta mzee wa kukuachia mafao!!!!!wazee nao wameshtukaa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]