Natafuta rafiki wa kiume

Natafuta rafiki wa kiume

Status
Not open for further replies.
Km
Asanteh mkuu mana kanizingua PM.
Kama ulikuja kwa kujaribu kwann nisikuzingue??mnapenda kutingishia watu viberiti msio wajua.Nilie kuwa na muhitaji nishampata ukiona umezonguliwa basi tafuta wako Mimi siyo wako,kwenye mashindano sio lazima mshinde wote,anahitajika mshindi mmoja tu.Na asiyekubali kushindwa si mshindani sawaa
 
Km

Kama ulikuja kwa kujaribu kwann nisikuzingue??mnapenda kutingishia watu viberiti msio wajua.Nilie kuwa na muhitaji nishampata ukiona umezonguliwa basi tafuta wako Mimi siyo wako,kwenye mashindano sio lazima mshinde wote,anahitajika mshindi mmoja tu.Na asiyekubali kushindwa si mshindani sawaa
We kiboko eti 35 mtoto wewe una 27 unajiona kizee, dunia simama nilishushe hili jaba na huu msalaba
 
Utafika muda utaanza kusema nahitaji anaeweza kupumua tu hapo ndio ushafika jioni na humuoni hata mmoja, nikutakie kila lakheri huko kwenye kubanjuliwa km koroshi
😆 Mbona nisha mpata anae jielewa?,ila Leo nimewaeza wambea 😆😆😆
 
Mimi ni binti wa miaka 27,natafuta rafiki wa kiume.

SIFA NILIZO NAZO.👇

Mimi ni mweupe, mrefu, mwembamba kiasi, elimu ya kawaida, mfanya biashara.

SIFA ZA RAFIKI WA KIUME ANAYE HITAJIKA👇.

(1)Awe mrefu
(2)Rangi yoyote.
(3)Dini awe mkristo au mwislam.
(4)Elimu form four kuendelea.
(5)umri kuanzia miaka 38-55
(6)Awe anajitegemea.
Kama unavigezo ivyo njoo PM na Kama haupo serious usije.

Watoto kuanzia miaka 35,34,33,30,29...kushuka chini jaman siwahitaji, narudia Tena siwahitaji.
Ingia Tinder au Grindr utakutana na wajaa nyegere wenzio
 
MTOA mada amezingatia kuweka umri/rika la vijan wenye mafanikio na busura ambao kwa 10,000 had 100,000 sio shda
Bora we umeelewa,sio hao vilaza wanakurupuka tu hata hayasomi vizuri yanakimbilia kukoment.
 
35 Yrs ni Mtoto, Akili yako Iko sawa ?
Afu Mwanamke mwembamba shule huna !
Hiyo dharau na jeuri unaitoa wapi ?
Kasome Kwanza na ule upate tacko
Miaka 10 baadae njo tena .
Nani amlelee Mwanaume mwingine mtoto!!
😁😁
Umempa inaitwa MAKAVU LAIVU
 
Mbona ya kawaida hyo?atasijaona makavu yoyote,sema nashagaa wanaume wanavyoonea wivu ukuni was wanaume wenzao happy ndio 😆😆😆🤦
😁😁
Umempa inaitwa MAKAVU LAIVU
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom