Uwa zuri
Senior Member
- Feb 24, 2023
- 104
- 177
- Thread starter
- #201
Km
Kama ulikuja kwa kujaribu kwann nisikuzingue??mnapenda kutingishia watu viberiti msio wajua.Nilie kuwa na muhitaji nishampata ukiona umezonguliwa basi tafuta wako Mimi siyo wako,kwenye mashindano sio lazima mshinde wote,anahitajika mshindi mmoja tu.Na asiyekubali kushindwa si mshindani sawaaAsanteh mkuu mana kanizingua PM.