Hizo herufi 3 za kwanz (Asa) ndio kifupisho cha jina langu la halali..sasa nikashtuka kidogo.Asa kumbe huna vigezo siupite ivi👉👉
hapana aisee, mie team Nyetodronedrake unatafutwa huku 🤣🤣🤣
ya kwetu mimi na wewe ambayo unafanya sasa hivi. si ndio tushakuwa wa moja tena. Chako changu na cha baba na mama yangu chetu maana sina changu mwenyewe bado zaidi ya mswaki na nguo.😀😀😀😂😂😂😂 biashara ya nani?
Hadi ikuue 🤣🤣🤣🤣🤣hapana aisee, mie team Nyeto
Nna 38 ila ukiniona nkama nna 28 tuu,, so mwonekano wangu uskutie shaka,, vp nije?Mimi ni binti wa miaka 27,natafuta rafiki wa kiume.
SIFA NILIZO NAZO.[emoji116]
Mimi ni mweupe, mrefu, mwembamba kiasi, elimu ya kawaida, mfanya biashara.
SIFA ZA RAFIKI WA KIUME ANAYE HITAJIKA[emoji116].
(1)Awe mrefu
(2)Rangi yoyote.
(3)Dini awe mkristo au mwislam.
(4)Elimu form four kuendelea.
(5)umri kuanzia miaka 38-55
(6)Awe anajitegemea.
Kama unavigezo ivyo njoo PM na Kama haupo serious usije.
Watoto kuanzia miaka 35,34,33,30,29...kushuka chini jaman siwahitaji, narudia Tena siwahitaji.
natumia utelezi ambao hauna germsHadi ikuue 🤣🤣🤣🤣🤣
ila siku machaguzi ni mengi mno.. mwisho ni kupigwa matukio hadi ukimbie.Sasa elimu ina nafas gan hapo,chamcng awe na shughuli yakumuingizia kipato tu
Tapeli weweMimi ni binti wa miaka 27,natafuta rafiki wa kiume.
SIFA NILIZO NAZO.👇
Mimi ni mweupe, mrefu, mwembamba kiasi, elimu ya kawaida, mfanya biashara.
SIFA ZA RAFIKI WA KIUME ANAYE HITAJIKA👇.
(1)Awe mrefu
(2)Rangi yoyote.
(3)Dini awe mkristo au mwislam.
(4)Elimu form four kuendelea.
(5)umri kuanzia miaka 38-55
(6)Awe anajitegemea.
Kama unavigezo ivyo njoo PM na Kama haupo serious usije.
Watoto kuanzia miaka 35,34,33,30,29...kushuka chini jaman siwahitaji, narudia Tena siwahitaji.
Ndio hataki mtoto mwenzieDaa hizi dharau 35 unaita watoto jee wenye 26 ,25 watakuwaje sasa. Au unatafuta ambao wameshatafuta
Kuna mzee mmoja amestaafu hata nyumba hana, ikabidi jamaa wamchangie tu aweze kujistiriHatimaye wastaafu tumekumbukwa Binti karibu PM tule wote kikotoo na marupu rupu ya ustaafu.
Wanauliza username yako nyingine ni ipiNilishawahi kukudanga?,tatizo wanaume wengi wa jf mnawivu,afu mnapenda kusagiana kungun