Natafuta rafiki wa kiume

Natafuta rafiki wa kiume

Status
Not open for further replies.
Asa kumbe huna vigezo siupite ivi👉👉
Hizo herufi 3 za kwanz (Asa) ndio kifupisho cha jina langu la halali..sasa nikashtuka kidogo.
Nahis kuna simething kati yetu mrembo...unaonaje tuka dig deep!??huenda mimi ndio baba lao unayemtafuta!?
U see???!!
 
😂😂😂😂 biashara ya nani?
ya kwetu mimi na wewe ambayo unafanya sasa hivi. si ndio tushakuwa wa moja tena. Chako changu na cha baba na mama yangu chetu maana sina changu mwenyewe bado zaidi ya mswaki na nguo.😀😀😀
 
Mimi ni binti wa miaka 27,natafuta rafiki wa kiume.

SIFA NILIZO NAZO.[emoji116]

Mimi ni mweupe, mrefu, mwembamba kiasi, elimu ya kawaida, mfanya biashara.

SIFA ZA RAFIKI WA KIUME ANAYE HITAJIKA[emoji116].

(1)Awe mrefu
(2)Rangi yoyote.
(3)Dini awe mkristo au mwislam.
(4)Elimu form four kuendelea.
(5)umri kuanzia miaka 38-55
(6)Awe anajitegemea.
Kama unavigezo ivyo njoo PM na Kama haupo serious usije.

Watoto kuanzia miaka 35,34,33,30,29...kushuka chini jaman siwahitaji, narudia Tena siwahitaji.
Nna 38 ila ukiniona nkama nna 28 tuu,, so mwonekano wangu uskutie shaka,, vp nije?
 
Mimi ni binti wa miaka 27,natafuta rafiki wa kiume.

SIFA NILIZO NAZO.👇

Mimi ni mweupe, mrefu, mwembamba kiasi, elimu ya kawaida, mfanya biashara.

SIFA ZA RAFIKI WA KIUME ANAYE HITAJIKA👇.

(1)Awe mrefu
(2)Rangi yoyote.
(3)Dini awe mkristo au mwislam.
(4)Elimu form four kuendelea.
(5)umri kuanzia miaka 38-55
(6)Awe anajitegemea.
Kama unavigezo ivyo njoo PM na Kama haupo serious usije.

Watoto kuanzia miaka 35,34,33,30,29...kushuka chini jaman siwahitaji, narudia Tena siwahitaji.
Tapeli wewe
 
35 Yrs ni Mtoto, Akili yako Iko sawa ?
Afu Mwanamke mwembamba shule huna !
Hiyo dharau na jeuri unaitoa wapi ?
Kasome Kwanza na ule upate tacko
Miaka 10 baadae njo tena .
Nani amlelee Mwanaume mwingine mtoto!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom