Natafuta rafiki wa kiume

Status
Not open for further replies.
Binafsi nina 39 nimekidhi vigezo yote kabisa,nawe nimeona sifa zako ila hujasema kalio la kutosha lipo au ndio kama dereva wa mwendo kasi,maana isije
Nikaja ile kukuona ukaanza kusema wanaume wote Umbwa.
Sina kalio,Nina vifuu nakalia tulia tu
 
Hata hawajafa wapo sanaaa
 
Huna lolote unafata hela tu kwa wazee, maana kwa huo umri wengi wanakuwa wapo vizuri kiuchumi na wanakuwa wameoa kifupi wewe ni mdangaji.
Kwan unaumia na nini ?unanionea wivu mm mke Mwenzio?nimemdangia baba yko?
 
Umri wako ni miaka 27 halafu unaita 35, kushuka chini watoto!!! Mmeambiwa wazee wanajua kuhudumia vizuri eeh 😁😁😁😁
 
Wewe huna miaka 27 wewe ni mzeee alafu single maza wamaume wenzangu huu ni mtego
 
Huna lolote unafata hela tu kwa wazee, maana kwa huo umri wengi wanakuwa wapo vizuri kiuchumi na wanakuwa wameoa kifupi wewe ni mdangaji.
Hakuna cha udangaji hapo mkuu kila mtu ana kitu anapenda kutoka kwa yule amtakaye.

Hata mimi sikuwahi kupenda kujihusisha na mapenzi na vijana kuanzia 29 kwenda chini na nashukuru nimeolewa na mstaafu.
 
Hizi thread hua ni kupima reaction tu. Hakuna kitu hapo.
Mie sifa zote ninazo lakini kazingua PM.

Sa sjui anataka nn🤔🤔👆🏿
 
Hakuna cha udangaji hapo mkuu kila mtu ana kitu anapenda kutoka kwa yule amtakaye.

Hata mimi sikuwahi kupenda kujihusisha na mapenzi na vijana kuanzia 29 kwenda chini na nashukuru nimeolewa na mstaafu.
Bora unisadie we kuwaambia,tatizo wivu unawsumbua.Mimi kiuhalisia sipendi watu walio chini yangu hata rafiki zangu wa kike ni wamama walio tulia wenye familia zao.
 
Hakuna cha udangaji hapo mkuu kila mtu ana kitu anapenda kutoka kwa yule amtakaye.

Hata mimi sikuwahi kupenda kujihusisha na mapenzi na vijana kuanzia 29 kwenda chini na nashukuru nimeolewa na mstaafu.
Kunakuwa na mapenzi ya kweli hapo? Utakuta binti ana miaka 26 anaolewa na mtu ana miaka 56 !! Kuna walakini hapo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…