Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Mimi umri ni 57 hatuwezi ku bargain
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina kalio,Nina vifuu nakalia tulia tuBinafsi nina 39 nimekidhi vigezo yote kabisa,nawe nimeona sifa zako ila hujasema kalio la kutosha lipo au ndio kama dereva wa mwendo kasi,maana isije
Nikaja ile kukuona ukaanza kusema wanaume wote Umbwa.
Huna lolote unafata hela tu kwa wazee, maana kwa huo umri wengi wanakuwa wapo vizuri kiuchumi na wanakuwa wameoa kifupi wewe ni mdangaji.Ndio siwataki Sasa,kwani lazima kila siku wapendwe VIJANA tu?
Hata hawajafa wapo sanaaaNi kweli ila urafiki kwanza baadae kwenye mahusiano hawa watu wameshakufa siku hizi. Huwezi kuwa na rafiki halafu ukamtreat kama upo naye kwenye mahusiano. Ni ngumu na
Hutakiwi umbane, umpe vigezo wala asipokupigia simu usimuulize kwanini hajakupigia simu.
Mfano. Wewe ni rafiki yangu, umenipigia simu, nakwambia naenda kumuona Asha hospitalini au kwakwe. Unanuna unategemea nitakujibuje?
Kwasisi wanaume tuna pande mbili. Ukiwa na mwanamke rafiki ni rafiki tu na ukiwa na mwanamke siyo rafiki basi ni mpo kwenye mahusiano. Hapo lazima vyuma viumane.
Sasa me sipendi chakula kibaya itakuaje hapo Rafiki😂Lovie lady nakuomba uwe rafiki yangu [emoji4][emoji4][emoji4]
Hahahaa😂😂akiii kuna watu wakorofi jaman eti kubargain kwani kuna biashara hapo😂Mimi umri ni 57 hatuwezi ku bargain
Ndio unatafuta kuwadangia wazee wetu ili mkwapue mali zote,una vina saba na Jacklin mengiKwan unaumia na nini ?unanionea wivu mm mke Mwenzio?nimemdangia baba yko?
Hakuna cha udangaji hapo mkuu kila mtu ana kitu anapenda kutoka kwa yule amtakaye.Huna lolote unafata hela tu kwa wazee, maana kwa huo umri wengi wanakuwa wapo vizuri kiuchumi na wanakuwa wameoa kifupi wewe ni mdangaji.
Kwa nini amepanikiii huyu kijana kwani ni kosa kutaka mzee😬😁😁Kaa kwa kutuliaaaa,raha jipe mwenyeweee usisubiri kupewa
Bora unisadie we kuwaambia,tatizo wivu unawsumbua.Mimi kiuhalisia sipendi watu walio chini yangu hata rafiki zangu wa kike ni wamama walio tulia wenye familia zao.Hakuna cha udangaji hapo mkuu kila mtu ana kitu anapenda kutoka kwa yule amtakaye.
Hata mimi sikuwahi kupenda kujihusisha na mapenzi na vijana kuanzia 29 kwenda chini na nashukuru nimeolewa na mstaafu.
Kunakuwa na mapenzi ya kweli hapo? Utakuta binti ana miaka 26 anaolewa na mtu ana miaka 56 !! Kuna walakini hapoHakuna cha udangaji hapo mkuu kila mtu ana kitu anapenda kutoka kwa yule amtakaye.
Hata mimi sikuwahi kupenda kujihusisha na mapenzi na vijana kuanzia 29 kwenda chini na nashukuru nimeolewa na mstaafu.