Natafuta rafiki wa kiume

Natafuta rafiki wa kiume

Status
Not open for further replies.
Binafsi nina 39 nimekidhi vigezo yote kabisa,nawe nimeona sifa zako ila hujasema kalio la kutosha lipo au ndio kama dereva wa mwendo kasi,maana isije
Nikaja ile kukuona ukaanza kusema wanaume wote Umbwa.
Sina kalio,Nina vifuu nakalia tulia tu
 
Ni kweli ila urafiki kwanza baadae kwenye mahusiano hawa watu wameshakufa siku hizi. Huwezi kuwa na rafiki halafu ukamtreat kama upo naye kwenye mahusiano. Ni ngumu na
Hutakiwi umbane, umpe vigezo wala asipokupigia simu usimuulize kwanini hajakupigia simu.
Mfano. Wewe ni rafiki yangu, umenipigia simu, nakwambia naenda kumuona Asha hospitalini au kwakwe. Unanuna unategemea nitakujibuje?
Kwasisi wanaume tuna pande mbili. Ukiwa na mwanamke rafiki ni rafiki tu na ukiwa na mwanamke siyo rafiki basi ni mpo kwenye mahusiano. Hapo lazima vyuma viumane.
Hata hawajafa wapo sanaaa
 
Huna lolote unafata hela tu kwa wazee, maana kwa huo umri wengi wanakuwa wapo vizuri kiuchumi na wanakuwa wameoa kifupi wewe ni mdangaji.
Kwan unaumia na nini ?unanionea wivu mm mke Mwenzio?nimemdangia baba yko?
 
Umri wako ni miaka 27 halafu unaita 35, kushuka chini watoto!!! Mmeambiwa wazee wanajua kuhudumia vizuri eeh 😁😁😁😁
 
Huna lolote unafata hela tu kwa wazee, maana kwa huo umri wengi wanakuwa wapo vizuri kiuchumi na wanakuwa wameoa kifupi wewe ni mdangaji.
Hakuna cha udangaji hapo mkuu kila mtu ana kitu anapenda kutoka kwa yule amtakaye.

Hata mimi sikuwahi kupenda kujihusisha na mapenzi na vijana kuanzia 29 kwenda chini na nashukuru nimeolewa na mstaafu.
 
Hizi thread hua ni kupima reaction tu. Hakuna kitu hapo.
Mie sifa zote ninazo lakini kazingua PM.

Sa sjui anataka nn🤔🤔👆🏿
 
Hakuna cha udangaji hapo mkuu kila mtu ana kitu anapenda kutoka kwa yule amtakaye.

Hata mimi sikuwahi kupenda kujihusisha na mapenzi na vijana kuanzia 29 kwenda chini na nashukuru nimeolewa na mstaafu.
Bora unisadie we kuwaambia,tatizo wivu unawsumbua.Mimi kiuhalisia sipendi watu walio chini yangu hata rafiki zangu wa kike ni wamama walio tulia wenye familia zao.
 
Hakuna cha udangaji hapo mkuu kila mtu ana kitu anapenda kutoka kwa yule amtakaye.

Hata mimi sikuwahi kupenda kujihusisha na mapenzi na vijana kuanzia 29 kwenda chini na nashukuru nimeolewa na mstaafu.
Kunakuwa na mapenzi ya kweli hapo? Utakuta binti ana miaka 26 anaolewa na mtu ana miaka 56 !! Kuna walakini hapo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom