Natafuta rafiki wa kiume

Natafuta rafiki wa kiume

Status
Not open for further replies.
Subiri watoto wa miaka 35 kushuka waje na makasiriko Yao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tena wakuache kabisaa
Wasikupangie
Life is all about making choice
 
Hiv huwa mnakosaje wa kuwaoa!?
Mnakuaga na shida bila shaka
 
Kama anayekuzidi miaka 8 ni mtoto, utakuwa umekubuhu kwelikweli kwenye hii sekta.
Hapa zijakubuhu,ila huwa napenda kuwa na marafiki au mpenzi alie nizidi miaka mingi huwa nakuwa na amani
 
Mimi ni binti wa miaka 27,natafuta rafiki wa kiume.

SIFA NILIZO NAZO.👇

Mimi ni mweupe, mrefu, mwembamba kiasi, elimu ya kawaida, mfanya biashara.

SIFA ZA RAFIKI WA KIUME ANAYE HITAJIKA👇.

(1)Awe mrefu
(2)Rangi yoyote.
(3)Dini awe mkristo au mwislam.
(4)Elimu form four kuendelea.
(5)umri kuanzia miaka 38-55
(6)Awe anajitegemea.
Kama unavigezo ivyo njoo PM na Kama haupo serious usije.

Watoto kuanzia miaka 35,34,33,30,29...kushuka chini jaman siwahitaji, narudia Tena siwahitaji.
Unatafuta RAFIKI au MWENZA/MUME/MPENZI mbona unazunguka sANA/ hit the point
 
Sifa zote hizo wewe unazo au unataka tu mwenzio ndo awe nazo. Elimu yenyewe umesema una ya kawaida, umeshindwa kuweka wazi. Hapo unataka sifa kibao za mwanaume. Nyie ndio mna zeeka bila kuolewa kwa kujifanya kuwa selective. Sifa ulizoorodhesha utazipata kwa mpenzi sio mume wa maisha. Jiangalie umri wako sio haba.
mbona povu mkuu sifa gani huna hapo😅😅😅
 
Nimeandika hapo juu nataka mume?,sinimesema rafiki?
Ahhh ndio huko huko tu unaelekea ..anyway...sasa mnakosaje hata marafiki??
Mfanya biashara wa namna gani wewe unatafuta marafiki kwenye social networks ..unafanyaje sasa hizo biashara!?
Au hazihusishi interaction na watu?
 
Sifa zote hizo wewe unazo au unataka tu mwenzio ndo awe nazo. Elimu yenyewe umesema una ya kawaida, umeshindwa kuweka wazi. Hapo unataka sifa kibao za mwanaume. Nyie ndio mna zeeka bila kuolewa kwa kujifanya kuwa selective. Sifa ulizoorodhesha utazipata kwa mpenzi sio mume wa maisha. Jiangalie umri wako sio haba.
Haha umemgusa mtima 😃
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom