Natafuta rafiki wa kiume

Natafuta rafiki wa kiume

Status
Not open for further replies.
Mimi ni binti wa miaka 27,natafuta rafiki wa kiume.

SIFA NILIZO NAZO.👇

Mimi ni mweupe, mrefu, mwembamba kiasi, elimu ya kawaida, mfanya biashara.

SIFA ZA RAFIKI WA KIUME ANAYE HITAJIKA👇.

(1)Awe mrefu
(2)Rangi yoyote.
(3)Dini awe mkristo au mwislam.
(4)Elimu form four kuendelea.
(5)umri kuanzia miaka 38-55
(6)Awe anajitegemea.
Kama unavigezo ivyo njoo PM na Kama haupo serious usije.

Watoto kuanzia miaka 35,34,33,30,29...kushuka chini jaman siwahitaji, narudia Tena siwahitaji.
😅😅😅
 
Attachments

  • FB_IMG_1678458826080.jpg
    FB_IMG_1678458826080.jpg
    58.4 KB · Views: 7
Yaan we uwa zuri ndio mtoto unasema unatafuta rafiki,UNGESEMA NATAFUTA MUME HALAFU RAFIKI HATA UKO ULIKO UNAO KWAIYO UZI WAKO UMEONYESHA JINSI GANI WEWE MWENYEWE ULIVYOKUWA MTOTO BAADA YA KUSEMA UNATAFUTA MUME UNASEMA UNATAFUTA RAFIKI ACHA UTOTO WEWE BINTI UNAYEJIITA UWA ZURI
 
Wazee wakifikia kifuani 😅😅Mali za urithi zmepotea ,watoto watabaki kua omba omba
 
......Sasa kama nakupenda na nakuhitaji nifanyeje......kwakweli naomba unilegezee masharti japo kidogo....na sisi wafupi tuna haki ya kupendwa na nyinyi warefu, mtatunyanyapaa hadi lini bana!!??.....
Kataa ndoa
ndoa ni wizi
kataa kuchunwa

tafuta pesa kula Bata usimsaidie Mwanamke labda Mama yako tu nenda kaa mbali Fanya kazi kula Bata usimsaidie mtu

Kwani hujapata mke kwenye ule uzi wako?,afu mwalimu gani mgumu kuelea,unafundisha nn Sasa hao wanafunzi?mbona nimandika nataka rafiki na sijasema mume au ndao?.Umeona kwako pamebuma umehama kwenye uzi wangu.Huna vigezo kaa pembeni mwachie mwenye bahati yke.
 
Mimi ni binti wa miaka 27,natafuta rafiki wa kiume.

SIFA NILIZO NAZO.👇

Mimi ni mweupe, mrefu, mwembamba kiasi, elimu ya kawaida, mfanya biashara.

SIFA ZA RAFIKI WA KIUME ANAYE HITAJIKA👇.

(1)Awe mrefu
(2)Rangi yoyote.
(3)Dini awe mkristo au mwislam.
(4)Elimu form four kuendelea.
(5)umri kuanzia miaka 38-55
(6)Awe anajitegemea.
Kama unavigezo ivyo njoo PM na Kama haupo serious usije.

Watoto kuanzia miaka 35,34,33,30,29...kushuka chini jaman siwahitaji, narudia Tena siwahitaji.
Rafiki gani anakuwa ana vigezo km vya kuombea kazi?
Sema unatafuta mume. Ukiufanyia kazi huu ushauri. Uhakika wa kuolewa 100%
1. Vaa kieshima (Usivae suruali za kubana, sketi fupi n.k
2. Kuwa na lugha nzuri. Siyo mtu amekuudhi unamtukana mpk matusi ya nguoni. Utasubiri sana
3. Kuwa na marafiki wanajiheshimu kuwa na marafiki wa kiume siyo mbaya ila wasiwe wengi km wa kike.
4. Ukimaliza kazi, rudi nyumbani. Usipite bar, magetho ya wanaume, night club n.k
5. Usiwe na mazoa sana na wanaume mnaitana my n.k wala kuwa na marafiki mashangingi
6. Ukifika nyumbani, fanya kazi za nyumbani. Kama umepanga jitahidi ufanye kazi kulingana na zamu hata mtu fulani akiwa anaumwa au hayupo jitolee mfanyie. Hao unaoishi nao wana ndugu na marafiki wanahitaji wake kwahiyo wanaweza kuunganisha bila wewe kujua na ukaolewa
7. Usijiweke matawi ya juu na kuwapita watu bila salamu. Km una usafiri au gari. Liache panda dalala, uwe na heshima. Ikitokea mama ana mtoto au mjamzito mpishe. Hawa watu wana ndugu zao, mwingine yupo humo humo kwenye dalala
8. Usiwe bize na simu. Muda wote upo na simu, simu haitoki mkononi. Unaangalia umbea
9. Usiwe mrahisi kutoa namba za simu na kuruhusu mialiko isiwe na kichwa na miguu
10. Hiki kigezo huwa naangalia zaidi. Unamuita mwanamke anakuja unapoishi, anafika anakaa, anaangalia movie na muziki. Haipiki wala kushika chochote. Unajiuliza huyu mwanamke nikimuoa si nitabeba mzigo? Wewe mwanaume ndiyo unahangaika mwanamke ale nini. Unaenda dukani, anataka chips (siyo mbaya kwa mgeni), unarudi unachukua sahani, unachukua maji unamwagilizia yupo bize na simu au movie. Pambavu zake
11. Muache kupiga Mizinga
Wewe ndiyo anakufanya ndiyo baba yake. Mpk unajilaumu kwanini nimempigia. Ukimwambia sina, ananuna. Utasubiri sana
 
Mahusiano yakufatiliana hivi huwa hayadumu
 
Utaanzaje kuwa na mahusiyano kabla hamjawa marafiki?unatakiwa umfahamu mtu ndio mengine yaendelee.Nunatakiwa uwanze na 0 ndio ufike 10 na kuendelea sawa.
 
Bikra unayo Kama unayo njoo Pm nikufanyie usahili.
 
Kwann ww unayo?afu bahat mbaya huna hata robo ya vigezo navyo taka..Ila naona unajineng'enesha tu mara uruke,mara ukae,mara usimame maradi tu uneng'eneke.
 
Mahusiano yakufatiliana hivi huwa hayadumu
Hizo ni sifa za mwanamke anayetakiwa kuolewa. Kama hana hizo sifa angalau 6. Kuolewa kwa mwanamke itakuwa ngumu sana kumpata rafiki.
Kama ameshindwa kumpata kwenye jamii ya watu anaowaona. Itakuwa hapa kwa wenye ID fake?
Huyo ni rafiki tu ameshindwa kumpata. Je, mume atampata?
 
Mimi ni binti wa miaka 27,natafuta rafiki wa kiume.

SIFA NILIZO NAZO.👇

Mimi ni mweupe, mrefu, mwembamba kiasi, elimu ya kawaida, mfanya biashara.

SIFA ZA RAFIKI WA KIUME ANAYE HITAJIKA👇.

(1)Awe mrefu
(2)Rangi yoyote.
(3)Dini awe mkristo au mwislam.
(4)Elimu form four kuendelea.
(5)umri kuanzia miaka 38-55
(6)Awe anajitegemea.
Kama unavigezo ivyo njoo PM na Kama haupo serious usije.

Watoto kuanzia miaka 35,34,33,30,29...kushuka chini jaman siwahitaji, narudia Tena siwahitaji.
Hakika utapata chaguo lako
 
usiite watu wana miaka 29 watoto,wengine wana kila kitu kuzidi hao wenye umri unaouhitaji.

then kwa kukejeli huku usitegemee mtu serious kuj kwako;
nina 30;
 
Mama yanguuuu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji2368][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]
28 watoto???

Cc [mention]Nakadori [/mention] tunatabu[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hizo sifa tu mi hoii😂😂 unepunguza wengi sana alafu haya masharti ya mganga ndugu yangu , utampata wansifa hizo ana familia kama Hana ujue ameshindwa kuwa na familia sababu ni zee la hovyo nimesema tu kwa sauti ndogo😅 35 ni mtoto alaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom