Mimi ni binti wa miaka 27,natafuta rafiki wa kiume.
SIFA NILIZO NAZO.👇
Mimi ni mweupe, mrefu, mwembamba kiasi, elimu ya kawaida, mfanya biashara.
SIFA ZA RAFIKI WA KIUME ANAYE HITAJIKA👇.
(1)Awe mrefu
(2)Rangi yoyote.
(3)Dini awe mkristo au mwislam.
(4)Elimu form four kuendelea.
(5)umri kuanzia miaka 38-55
(6)Awe anajitegemea.
Kama unavigezo ivyo njoo PM na Kama haupo serious usije.
Watoto kuanzia miaka 35,34,33,30,29...kushuka chini jaman siwahitaji, narudia Tena siwahitaji.
Rafiki gani anakuwa ana vigezo km vya kuombea kazi?
Sema unatafuta mume. Ukiufanyia kazi huu ushauri. Uhakika wa kuolewa 100%
1. Vaa kieshima (Usivae suruali za kubana, sketi fupi n.k
2. Kuwa na lugha nzuri. Siyo mtu amekuudhi unamtukana mpk matusi ya nguoni. Utasubiri sana
3. Kuwa na marafiki wanajiheshimu kuwa na marafiki wa kiume siyo mbaya ila wasiwe wengi km wa kike.
4. Ukimaliza kazi, rudi nyumbani. Usipite bar, magetho ya wanaume, night club n.k
5. Usiwe na mazoa sana na wanaume mnaitana my n.k wala kuwa na marafiki mashangingi
6. Ukifika nyumbani, fanya kazi za nyumbani. Kama umepanga jitahidi ufanye kazi kulingana na zamu hata mtu fulani akiwa anaumwa au hayupo jitolee mfanyie. Hao unaoishi nao wana ndugu na marafiki wanahitaji wake kwahiyo wanaweza kuunganisha bila wewe kujua na ukaolewa
7. Usijiweke matawi ya juu na kuwapita watu bila salamu. Km una usafiri au gari. Liache panda dalala, uwe na heshima. Ikitokea mama ana mtoto au mjamzito mpishe. Hawa watu wana ndugu zao, mwingine yupo humo humo kwenye dalala
8. Usiwe bize na simu. Muda wote upo na simu, simu haitoki mkononi. Unaangalia umbea
9. Usiwe mrahisi kutoa namba za simu na kuruhusu mialiko isiwe na kichwa na miguu
10. Hiki kigezo huwa naangalia zaidi. Unamuita mwanamke anakuja unapoishi, anafika anakaa, anaangalia movie na muziki. Haipiki wala kushika chochote. Unajiuliza huyu mwanamke nikimuoa si nitabeba mzigo? Wewe mwanaume ndiyo unahangaika mwanamke ale nini. Unaenda dukani, anataka chips (siyo mbaya kwa mgeni), unarudi unachukua sahani, unachukua maji unamwagilizia yupo bize na simu au movie. Pambavu zake
11. Muache kupiga Mizinga
Wewe ndiyo anakufanya ndiyo baba yake. Mpk unajilaumu kwanini nimempigia. Ukimwambia sina, ananuna. Utasubiri sana