Masalia Mpya
Member
- Mar 24, 2023
- 53
- 68
- Thread starter
- #21
Shangaa wakati si kweliKwani anataka Nini?😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shangaa wakati si kweliKwani anataka Nini?😂😂
Asante na kwako piaHapana! Ni jina tu limefanana...sabato njema
Umeona eeh… Akuje tuanze maisha sasaWazee kwa wazee, vijana kwa vijana.
Life starts at 40
Hujatoa sifa zako ila inaweja mashariti kibao. Unamakalio makubwa au madigo?Niaje katika jukwaa hili…
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 39, natafuta rafiki wa kiume mwenye umri wa miaka 40-50 tu.
Vigezo:
Awe single (Mgane/ Mtalaka)
Awe Mkristo (Msabato atapewa kipaumbele)
Lengo la vigezo, sitaki mume wa mtu maana sitakuwa huru naye. Pia nahitaji Mkristo maana tunashare Imani.
DM iko wazi…
Ndimi
Masalia Mpya
Kwani mleta mada anataka nini hasa? Maana hata haeleweki,masharti kibao utafikiri anatafuta mtu wa kujenga nae Flyover.Kuna huyu ngoja nimwite The Icebreaker njoo leo vigezo vyako vimefikiwa 🙆♀️
40-50yrsKwani mleta mada anataka nini hasa? Maana hata haeleweki,masharti kibao utafikiri anatafuta mtu wa kujenga nae Flyover.
Anapaswa kuzijua mhusika PM..Hujatoa sifa zako ila inaweja mashariti kibao. Unamakalio makubwa au madigo?
Wewe ni mrefu au andunje? Una rangi ya dodoma au ya wandali?
Una papuchi oevu au jangwa la namibia?
Una watoto au huna?
Unafanya kazi au huna?
Unaishi wapi?
Ni mama mksli au mpole?
Mengine wataongezea ...
Pesa ninayo, sina njaa. Nahitaji tu urafiki, kampani ya mtu mzima mwenzangu sio vinana…Ila kwenye stage ya urafiki hakuna kuombana hela
Anataka kuolewa saivi 45yrs, si amalizie tu miaka iliyobakiKwani anataka Nini?😂😂
Atampata mwenzie.... wanaume wapo tu wengi awe na subraAnataka kuolewa saivi 45yrs, si amalizie tu miaka iliyobaki
MmmhAnataka kuolewa saivi 45yrs, si amalizie tu miaka iliyobaki
Zuhura Yunus mwenyewe kaolewa na miaka 53, mie miaka 39 nife ya upweke lol…!Anataka kuolewa saivi 45yrs, si amalizie tu miaka iliyobaki
Hatutaki ,wazee watamu wamezitunza,,,,........ Vijana wa sasa akifika miaka 29 hata kuiminyia kwa ndani hawezi misuli ishalegezwa tokea fom 2 hukoNinyi mnaokuja PM naomba mzingatie vigezo, sasa unakuja inbox unasema kabisa una miaka 28 afu umeoa. Hivi kweli umesoma bandiko au kwa vile PM iko wazi unakuja tu.
NARUDIA TENA NAHITAJI RAFIKI ALIYE SINGLE UMRI 40-50yrs.
Nataka Mzee mwenzangu… Vijana nendeni kwa vijana wenzenu.
Huyo ni zuhura yunus ww ni masalia mapyaZuhura Yunus mwenyewe kaolewa na miaka 53, mie miaka 39 nife ya upweke lol…!
😁😁😁👏👏👏👏👏Hatutaki ,wazee watamu wamezitunza,,,,........ Vijana wa sasa akifika miaka 29 hata kuiminyia kwa ndani hawezi misuli ishalegezwa tokea fom 2 huko
😅Huyo ni zuhura yunus ww ni masalia mapya
Embu Tofautisha hivi vitu 2