Natafuta rafiki wa kiume

Natafuta rafiki wa kiume

Status
Not open for further replies.
Niaje katika jukwaa hili…

Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 39, natafuta rafiki wa kiume mwenye umri wa miaka 40-50 tu.

Vigezo:
Awe single (Mgane/ Mtalaka)
Awe Mkristo (Msabato atapewa kipaumbele)

Lengo la vigezo, sitaki mume wa mtu maana sitakuwa huru naye. Pia nahitaji Mkristo maana tunashare Imani.

DM iko wazi…

Ndimi
Masalia Mpya
Hujatoa sifa zako ila inaweja mashariti kibao. Unamakalio makubwa au madigo?
Wewe ni mrefu au andunje? Una rangi ya dodoma au ya wandali?
Una papuchi oevu au jangwa la namibia?
Una watoto au huna?
Unafanya kazi au huna?
Unaishi wapi?
Ni mama mksli au mpole?
Mengine wataongezea ...
 
Hujatoa sifa zako ila inaweja mashariti kibao. Unamakalio makubwa au madigo?
Wewe ni mrefu au andunje? Una rangi ya dodoma au ya wandali?
Una papuchi oevu au jangwa la namibia?
Una watoto au huna?
Unafanya kazi au huna?
Unaishi wapi?
Ni mama mksli au mpole?
Mengine wataongezea ...
Anapaswa kuzijua mhusika PM..
 
Ninyi mnaokuja PM naomba mzingatie vigezo, sasa unakuja inbox unasema kabisa una miaka 28 afu umeoa. Hivi kweli umesoma bandiko au kwa vile PM iko wazi unakuja tu.

NARUDIA TENA NAHITAJI RAFIKI ALIYE SINGLE UMRI 40-50yrs.

Nataka Mzee mwenzangu… Vijana nendeni kwa vijana wenzenu.
Hatutaki ,wazee watamu wamezitunza,,,,........ Vijana wa sasa akifika miaka 29 hata kuiminyia kwa ndani hawezi misuli ishalegezwa tokea fom 2 huko
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom