natafuta rafiki wa kiume

natafuta rafiki wa kiume

Sweetlol

Senior Member
Joined
May 9, 2011
Posts
102
Reaction score
24
Vigezo.
Rangi-mweupe
urefu-5.7 to 6.1
Dini-mkristo
elimu-kuanzia degree
Kabila-any
umri-27-38
mengineyo,awe mwenyetabia za kiume mwenye upendo na biashara.asiwe na chini ya milion 10 kwenye acc ingawa sintazihitaji.mcheshi,mkweli,anayempenda mungu nakuzishika amri zake.asiye kunywa pombe wala kuvuta sigara.
Only a friend mambo mengine mbele ya safar.
Ni pm plz kama uko na vigezo na ur intrsted.
 
usingekuta mtu hajaolew hapa duniani....unadhani rahisi siyo kupata true rafiki kimtindo huo?nenda club mara tatu tu utanieleza...
 
Acha kuishi kwa ndoto,tafuta kwa jasho lako ucpendo mteremko acha uvivu... Hivyo uvitakavyo c vyako utavikuta na ukimzingua utapangusa makalio na utaviacha.. Acha ushamba!!!
 
Vigezo.
Rangi-mweupe
urefu-5.7 to 6.1
Dini-mkristo
elimu-kuanzia degree

Kabila-any
umri-27-38
mengineyo,awe mwenyetabia za kiume mwenye upendo na biashara.asiwe na chini ya milion 10 kwenye acc ingawa sintazihitaji.mcheshi,mkweli,anayempenda mungu nakuzishika amri zake.asiye kunywa pombe wala kuvuta sigara.
Only a friend mambo mengine mbele ya safar.
Ni pm plz kama uko na vigezo na ur intrsted.
ok!hebu tueleze wewe una nini na nini?
 
Nipe nawewe sifa zako nione kama unafit kwangu,mi nimeshaona tayari nafit kwa mashart yako hayo.

Vigezo.
Rangi-mweupe
urefu-5.7 to 6.1
Dini-mkristo
elimu-kuanzia degree
Kabila-any
umri-27-38
mengineyo,awe mwenyetabia za kiume mwenye upendo na biashara.asiwe na chini ya milion 10 kwenye acc ingawa sintazihitaji.mcheshi,mkweli,anayempenda mungu nakuzishika amri zake.asiye kunywa pombe wala kuvuta sigara.
Only a friend mambo mengine mbele ya safar.
Ni pm plz kama uko na vigezo na ur intrsted.
 
wewe una ngapi kwenye acc yako??? nini ulichonacho cha kuvutia watu?
 
Vigezo.
Rangi-mweupe
urefu-5.7 to 6.1
Dini-mkristo
elimu-kuanzia degree
Kabila-any
umri-27-38
mengineyo,awe mwenyetabia za kiume mwenye upendo na biashara.asiwe na chini ya milion 10 kwenye acc ingawa sintazihitaji.mcheshi,mkweli,anayempenda mungu nakuzishika amri zake.asiye kunywa pombe wala kuvuta sigara.
Only a friend mambo mengine mbele ya safar.
Ni pm plz kama uko na vigezo na ur intrsted.
Vigezo vyote ninakidhi, tatizo ni rangi yangu - mimi ni Jaluo nyeusi ti.
 
vigezo vyote nnavyo na vingine nimevizidi km vle pale kwenye acc lakini natumia mtandao tofauti. km uko tayari ni pm
 
mmmmmh kaaaaz kwel kwel,mi nina sifa zote na acc yangu in 18m tatizo shule ni std 7 tu,vp ntakubaliwa?
 
Sasa hapo unatafuta mtu au unatafuta vitu?

Demu hopeless kabisa, vigezo uwe na 10ml kwa mtu ambaye anafanya biashara siyo rahisi kuwa na 10ml imekaa tu vinginevyo awe na mtaji mkubwa au mfanyabiashara wa kati -mkubwa.

Lingine kwani nini liwe ni sharti la msingi wakati yeye anahitaji mpenzi? Kwa logic hiyo huyu ni muuaji baada ya kujua una mali nyingi kiasi hicho ataforce ndoa ili baada ya muda akuondoe duniani na kufaidi mtajk uliopelekea wewe uwe na 10ml pending bank.
 
wewe unayeanagalia acc utauzwa wewe dada yangu..nina uhakika nikikualika kwangu lazima utaniganda ..hakuna mapenzi mabela ya pesa believe me na kwa vile umeweka pesa mbele utaishia kumegwa na kuachwa?
 
mpalesitina nini weye.Du mie ninavyo ila ufupi shida.3.5 utakubali? npm tafadhali.pia usiwe mpalestina
 
Back
Top Bottom