jokotinda_Jr
JF-Expert Member
- Apr 9, 2022
- 882
- 1,536
Kwanza mimi siyo dada ... pia kama hutojali badili hilo jina katika ulimwengu wa roho kuna uhalisia flani unaubeba ....usijiite mtoto wa maskini ...kataa hiyo roho mkuu ..... kuna mtu aliwahi sema maskini hawatoend mbinguni ...Sasa dada angu wewe ni mfanyabiashara...!
Sisi ni Tabaka la chini sana.
Emu tuoneshe za 35k na kale ka bure
Sent from my itel S32LTE using JamiiForums mobile app
Sawa nashukuru sana...!!Kwanza mimi siyo dada ... pia kama hutojali badili hilo jina katika ulimwengu wa roho kuna uhalisia flani unaubeba ....usijiite mtoto wa maskini ...kataa hiyo roho mkuu ..... kuna mtu aliwahi sema maskini hawatoend mbinguni ...
Ukiachana na jina BossKwanza mimi siyo dada ... pia kama hutojali badili hilo jina katika ulimwengu wa roho kuna uhalisia flani unaubeba ....usijiite mtoto wa maskini ...kataa hiyo roho mkuu ..... kuna mtu aliwahi sema maskini hawatoend mbinguni ...
Hizi zipo sema asiliyangu siyo mumini sana wa malumbano ila ukweli ni huu hapa .... west point lita 2++ bei yake ya chini kabisa ni 90k hapo ni pamoja na delivery services kwa dar es salaamWestpoint rice cooker jipyaa
Dukani ni 80 tu
Nahii ni Arusha, kkoo Dar lazima ikuwe cheap.
Kg2
Kwangu mimi hakuna ndugu ...[emoji120][emoji120]
Na mie nlitaka kushangaa hapo.Hiyo BEI uliyoitaja ni ya pressure cooker na siyo Rice cook, Rice cooker mpya haiwez kuzidi elfu 55 Kwa mpya
Aya[emoji23]Kwangu mimi hakuna ndugu ...[emoji120][emoji120]
Ni 60,Westpoint rice cooker jipyaa
Dukani ni 80 tu
Nahii ni Arusha, kkoo Dar lazima ikuwe cheap.
Kg2
Rejea page namba #25Ni 60,
Eti yeye anasema 120. Hata mult enyewe haifiki hapo.
Hata usiku mpo wazi?.Ujazo kg 2+
Kampuni ya zuhne
Ni outomatic
Free home delivery
Una toa sield mwwnyewe
Una testiwa
Una elekezwa matumizi sahihi
Ukisha ridhika ndipo utafanya malipo
bei 120,000
0742612561
Location
K/koo jengo la simba sport club hapa
Tupo wazi 24/7 kwanzia saa 8:00 asubuhi
Karibu sana
Mult zinafika na kuzidi, depends na Lt + brand..Ni 60,
Eti yeye anasema 120. Hata mult enyewe haifiki hapo.
Ungeweka ushahidi wa picha ungetusaidia sana sisi wengine ambao hatuamini kitu kama hicho
==Weka picha ya rice cooker ya 55000
==Weka size yake I mean kg ngapi
==Weka kampuni ya hiyo rice cooker
Tofauti na hapo itakuwa stori more
Nlitaka uweke west point kwa bei wanazo taja wadau
Bei ya Rice cooker ipo chini kampuni zipo nyinyi, Singsang, boss, kwasabu haipiki vyakula vigumu. pressure cooker bei yake ipo juu kuanzia laki moja nakuendelea kwasababu inapika vyakula vigumu inauwezo wakuivisha makongoro, makande, Nyama, maharage ata ngoz ya ngo''mbe ukiipika inaiva kabisaUngeweka ushahidi wa picha ungetusaidia sana sisi wengine ambao hatuamini kitu kama hicho
==Weka picha ya rice cooker ya 55000
==Weka size yake I mean kg ngapi
==Weka kampuni ya hiyo rice cooker
Tofauti na hapo itakuwa stori more
Nzur ni pressure cooker kwasababu ina uwezo wakuivisha vyakula vyoyote bila wasiwasi Yani ata soup ya makongoro inaivaNa mie nlitaka kushangaa hapo.
Hazitumii umeme mwingi ukiitumia haimalizi Unit moja Yani inatumia point 38 uniti moja haifikiHata usiku mpo wazi?.
Vipi utumiaji wa umeme wa hizi kitu?.
Acha uongo gunia ndogo ya mpunga aka Magufuli inauzwa 120,000 tena SARO ila mpunga hamna sasa [emoji23][emoji23][emoji23]Nataka used Mkuu!
120000/= gunia mbili za mpunga msimu huu wa mavuno.
Sikia kama ipo ya 35k nisaidie.