Natafuta rice cooker!

Natafuta rice cooker!

Sasa dada angu wewe ni mfanyabiashara...!
Sisi ni Tabaka la chini sana.
Emu tuoneshe za 35k na kale ka bure

Sent from my itel S32LTE using JamiiForums mobile app
Kwanza mimi siyo dada ... pia kama hutojali badili hilo jina katika ulimwengu wa roho kuna uhalisia flani unaubeba ....usijiite mtoto wa maskini ...kataa hiyo roho mkuu ..... kuna mtu aliwahi sema maskini hawatoend mbinguni ...
 
Sawa nashukuru sana...!!

Sent from my itel S32LTE using JamiiForums mobile app
 
Westpoint rice cooker jipyaa
Dukani ni 80 tu
Nahii ni Arusha, kkoo Dar lazima ikuwe cheap.
Kg2
 
Kwanza mimi siyo dada ... pia kama hutojali badili hilo jina katika ulimwengu wa roho kuna uhalisia flani unaubeba ....usijiite mtoto wa maskini ...kataa hiyo roho mkuu ..... kuna mtu aliwahi sema maskini hawatoend mbinguni ...
Ukiachana na jina Boss
Vipii 35k napata??

Sent from my itel S32LTE using JamiiForums mobile app
 
Westpoint rice cooker jipyaa
Dukani ni 80 tu
Nahii ni Arusha, kkoo Dar lazima ikuwe cheap.
Kg2
Hizi zipo sema asiliyangu siyo mumini sana wa malumbano ila ukweli ni huu hapa .... west point lita 2++ bei yake ya chini kabisa ni 90k hapo ni pamoja na delivery services kwa dar es salaam
Screenshot_20220524-114252_Chrome.jpg
 
Ujazo kg 2+
Kampuni ya zuhne
Ni outomatic
Free home delivery
Una toa sield mwwnyewe
Una testiwa
Una elekezwa matumizi sahihi
Ukisha ridhika ndipo utafanya malipo
bei 120,000
0742612561

Location
K/koo jengo la simba sport club hapa
Tupo wazi 24/7 kwanzia saa 8:00 asubuhi
Karibu sana
Hata usiku mpo wazi?.

Vipi utumiaji wa umeme wa hizi kitu?.
 
Ungeweka ushahidi wa picha ungetusaidia sana sisi wengine ambao hatuamini kitu kama hicho
==Weka picha ya rice cooker ya 55000
==Weka size yake I mean kg ngapi
==Weka kampuni ya hiyo rice cooker

Tofauti na hapo itakuwa stori more
IMG-20220523-WA0027.jpg
IMG-20220126-WA0018.jpg
IMG-20220414-WA0001.jpg
 
Attachments

  • IMG-20220208-WA0001.jpg
    IMG-20220208-WA0001.jpg
    88.6 KB · Views: 34
Ungeweka ushahidi wa picha ungetusaidia sana sisi wengine ambao hatuamini kitu kama hicho
==Weka picha ya rice cooker ya 55000
==Weka size yake I mean kg ngapi
==Weka kampuni ya hiyo rice cooker

Tofauti na hapo itakuwa stori more
Bei ya Rice cooker ipo chini kampuni zipo nyinyi, Singsang, boss, kwasabu haipiki vyakula vigumu. pressure cooker bei yake ipo juu kuanzia laki moja nakuendelea kwasababu inapika vyakula vigumu inauwezo wakuivisha makongoro, makande, Nyama, maharage ata ngoz ya ngo''mbe ukiipika inaiva kabisa
 
Nataka used Mkuu!
120000/= gunia mbili za mpunga msimu huu wa mavuno.

Sikia kama ipo ya 35k nisaidie.
Acha uongo gunia ndogo ya mpunga aka Magufuli inauzwa 120,000 tena SARO ila mpunga hamna sasa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom