Natafuta salon ya kiume ya kununua hapa Dar

Natafuta salon ya kiume ya kununua hapa Dar

Jogacom

Member
Joined
Dec 7, 2023
Posts
18
Reaction score
55
Habari, Nahitaji salon ya kiume ya kununua hapa Dar.

Mwenye anayo anicheki. Ahsante.
 
Hello ninayo Mkuu Salon ya kiume
Iko Dar es salaam Goba kwa Moga inatazamana na Lami,sema sina picha zake apa ila ina kiwango kizuri

changamoto imekuwa usimamizi maana mimi mwajiriwa nimekuwa kwa sasa nasafiri sana

Mawasiliano yangu 0768370986 tuweze kujajenga
 
Back
Top Bottom