Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mangi umepinda sasa😄22/04/2023
Bado nanunua santuri kama unazo nicheki 0714829688. .
Nakupa clue ya kuanzia.Habari
Kwa wale wasiojua masanturi ni nini, Santuri ni kama CD kubwa nyeusi zilikuwa zinatumika kucheza miziki ya zamani. Wengine huyaita masahani, players au gramophone records. Kama unayafahamu au unajua mahali yalipo naomba unitafute kwa PM. .
Kama unazo hizo santuri utaniuzia karibu PM, sharti ziwe katika ubora unaoweza kutumika. Zisiwe zimevunjika, kumegeka au zimekwaruzika juu ya uso wake kwa kuwa sitaweza kupiga nyimbo zake. .
View attachment 1388894
View attachment 1388895
View attachment 1388896
View attachment 1388897
Mara ya kwanza kufika pale ilikuwa mwaka 2013 nadhani. Panaitwa Dar Music Centre. Kwa wahindi flani hivi hawana chochote wameuza kila kitu. .Nakupa clue ya kuanzia.
Barabara ya Samora inapokutana na Morogoro Rd kama unatokea posta vuka mataa jengo la kwanza kulia kuna duka la Music Store. Nahisi lipo hapo tangu uhuru.
Hapo wana kila kitu mpaka info kama hautozipata hapo.
Mungu awazeeshe vyema hao wahindi wa hilo duka aisee
Mtafute jamaa mmoja anaitwa John Kitime anakuunganisha na wenye nazo.Mara ya kwanza kufika pale ilikuwa mwaka 2013 nadhani. Panaitwa Dar Music Centre. Kwa wahindi flani hivi hawana chochote wameuza kila kitu. .
Nina santuri elfu 3 hivi home nataka ninunue zifike elfu 15000. .
John kitime nilizungumza nae mwak 2018 hana msaada wowoteMtafute jamaa mmoja anaitwa John Kitime anakuunganisha na wenye nazo.
Lakini uhakika kuna Mtanzania anaitwa Fidelis Tungaraza anaishi Finland anayo collection matata sana na anaweza kukupatia msaada wapi utanunua santuri.
Pia Massoud Massoud wa TBC ni hazina nyingine maana si unajua jamaa ni mchimbuzi na mchambuziJohn kitime nilizungumza nae mwak 2018 hana msaada wowote
Ngoja nimtafute Fidelis Tungaraza thanks buddy. .
Huyu sijamchek ila wengi pia wananicheki sana watu washadai hawajakutana na mwenye santuri nyingi kama mimi bongo. .Pia Massoud Massoud wa TBC ni hazina nyingine maana si unajua jamaa ni mchimbuzi na mchambuzi
Umenikumbusha mbali sana sana mkuuHuyu sijamchek ila wengi pia wananicheki sana watu washadai hawajakutana na mwenye santuri nyingi kama mimi bongo. .
Watu wengi wanamili 45s na LPs
View attachment 2596101
Mimi namiliki santuri na sio players. Za miaka ya 30 mpaka 60s mwisho
View attachment 2596103
This guy is very smart.Mangi umepinda sasa😄
Okay thanks , nimeona🙏
Okay thanks, nimeona😊