Natafuta Santuri (CD kubwa za zamani aina ya Gramophone)

22/04/2023
Bado nanunua santuri kama unazo nicheki 0714829688. .
 
Nakupa clue ya kuanzia.
Barabara ya Samora inapokutana na Morogoro Rd kama unatokea posta vuka mataa jengo la kwanza kulia kuna duka la Music Store. Nahisi lipo hapo tangu uhuru.

Hapo wana kila kitu mpaka info kama hautozipata hapo.

Mungu awazeeshe vyema hao wahindi wa hilo duka aisee
 
Mara ya kwanza kufika pale ilikuwa mwaka 2013 nadhani. Panaitwa Dar Music Centre. Kwa wahindi flani hivi hawana chochote wameuza kila kitu. .

Nina santuri elfu 3 hivi home nataka ninunue zifike elfu 15000. .
 
Mtafute jamaa mmoja anaitwa John Kitime anakuunganisha na wenye nazo.

Lakini uhakika kuna Mtanzania anaitwa Fidelis Tungaraza anaishi Finland anayo collection matata sana na anaweza kukupatia msaada wapi utanunua santuri.
 
John kitime nilizungumza nae mwak 2018 hana msaada wowote

Ngoja nimtafute Fidelis Tungaraza thanks buddy. .
 
Pia Massoud Massoud wa TBC ni hazina nyingine maana si unajua jamaa ni mchimbuzi na mchambuzi
Huyu sijamchek ila wengi pia wananicheki sana watu washadai hawajakutana na mwenye santuri nyingi kama mimi bongo. .

Watu wengi wanamili 45s na LPs

Mimi namiliki santuri na sio players. Za miaka ya 30 mpaka 60s mwisho
 
17 February 2024
Bado nanunua santuri
 
8 March 2024
Bado nanunua santuri check me 0714829688
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…