Mkuu embu nipe siri ya hizi player maana nao nimekuwa msikilizaji wa jazz na blues na kuna mahali najua wanauza sometimes unakuta wanauza hizi vinly player na cd zake ndio ziko nyingi.
Mimi huwa naogopa kununua hii vinyl player kila nikikutanayo maana ni mfumo ambayo sikuwahi kuitumia, ila napenda kuimiliki, pengine waweza kuamsha shauku yangu yakujaribu bahati yangu katika hili