mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
kwani wewe mhehe?Ninatafuta sana sehemu ambako kuna kitu kama mnada wa mbwa. Sehemu ambayo watu hupeleka mbwa wao kuuza hapo na watu huenda hapo kununua mbwa.
Yaani sehemu ambayo unakuta wauzaji mbalimbali wanauza mbwa aina mbalimbali ili uwe na nafasi ya kuchagua mbwa unayemtaka.
Sehemu yenye ushindani pia wa bei! Maana ukimkuta myu anauza mbwa peke yake hakuna ushindani wa bei huwa wanauza kwa bei ya juu sana.
Mwenye taarifa ya sehemu kama hiyo kwa maeneo ya Dar es Salaam naomba tujuzane!!
Natafuta mbwa wazuri wa ulinzi!kwani wewe mhehe?
Sitaki wakiswahili/kokoMbwa wangap unataka (wakiswahili)
Asante sana. Riverside sehemu ipi?Riverside
Mimi nauza mbwa kwa ajili ya mboga. Napatikana Frelimo Iringa. Mwenye uhitaji tuwasiliane.Natafuta mbwa wazuri wa ulinzi!
Nenda Tandale kuna sehemu inaitwa nursery/kwa bi nyau kama unatoka Magomeni upande wa kulia kwenye kagorofaNinatafuta sana sehemu ambako kuna kitu kama mnada wa mbwa. Sehemu ambayo watu hupeleka mbwa wao kuuza hapo na watu huenda hapo kununua mbwa.
Yaani sehemu ambayo unakuta wauzaji mbalimbali wanauza mbwa aina mbalimbali ili uwe na nafasi ya kuchagua mbwa unayemtaka.
Sehemu yenye ushindani pia wa bei! Maana ukimkuta myu anauza mbwa peke yake hakuna ushindani wa bei huwa wanauza kwa bei ya juu sana.
Mwenye taarifa ya sehemu kama hiyo kwa maeneo ya Dar es Salaam naomba tujuzane!!
Frelimo ni kubwa mkuuMimi nauza mbwa kwa ajili ya mboga. Napatikana Frelimo Iringa. Mwenye uhitaji tuwasiliane.
Zambez barAsante sana. Riverside sehemu ipi?