username required
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 364
- 1,106
🙏Kila la heri mkuu
InshaallahNa ikawe kheri kwako mkuu
ThanksAll the best mkuu
Ndio,Duuh kujitolea nayo inaombwa?
Nenda halmashauri ofisi ya mganga mkuu wa mkoa uliopo, nenda na vyeti vyako vyote, vaa kiofisi na uwe serious mwambie unaomba akupangie kituo cha afya cha kujitolea. Utapewa barua ya kuripoti kituo fanya hivyo haraka na umweleze wazi unapotokea ila usichague kituo maana akikupanga mbali anakupanga sehemu ambazo kuna nyumba za wafanyakaziNimesoma clinical medicine.
Nimemaliza mwaka huu, hivyo ninahitaji kupata sehemu ya kujitolea kupata kujifunza zaidi na kupata uzoefu.
Nimesoma chuo cha private, na changamoto kubwa wa hivi vyuo vya private ni kupata muda mchache wa kufanya mafunzo ya wodini maana chuo chetu hakina hospitali yake hivyo huwa tunategemea kipindi cha clinical rotations.
Umri wangu ni miaka 32.
Jinsia Me
Naishi ukonga moshi bar, hivyo nikipata hospitali/kituo cha afya au zahanati sehemu za karibu na maeneo haya nitashukuru sana.
Mawasiliano yangu ni haya 0758120076.
Usimkatishe tamaa.Usipende kila kitu kukitafuta mitandoni,humu hakuna msaada
Nenda moja kwa moja kwenye vituo vya afya na mahospital mbona dar ni mengi tu
Kipindi naishi tabata kinyerezi niliwahi kujitolea zahanati ya malecela ipo tabata posta , hapo kidogo baadhi ya staffs najuana nao .Kabla ya kumaliza chuo ulitakiwa ujue ni wapi utaenda baada ya kuhitimu mafunzo.
always unatakiwa uwe na map keep in your mind
Samahani mkuu, kwani wewe unaishi nchi gani huko ambapo hawaombi kujitolea?Duuh kujitolea nayo inaombwa?
dira ni muhimuKipindi naishi tabata kinyerezi niliwahi kujitolea zahanati ya malecela ipo tabata posta , hapo kidogo baadhi ya staffs najuana nao .
Ila kwa sasa naishi huku moshi bar ni mbali kidogo na huko na si chini ya elfu 7 nitenge kwa siku ,ukizingatia ukijitolea mtu hulipwi , sehemu zinazolipa ni chache mno. Hivyo nikaona niulizie maeneo ya huku mpaka gongo la mboto ,mombasa, banana nk.
Jamaa anakaa dubaiSamahani mkuu, kwani wewe unaishi nchi gani huko ambapo hawaombi kujitolea?
Very and highly disciplineKipindi naishi tabata kinyerezi niliwahi kujitolea zahanati ya malecela ipo tabata posta , hapo kidogo baadhi ya staffs najuana nao .
Ila kwa sasa naishi huku moshi bar ni mbali kidogo na huko na si chini ya elfu 7 nitenge kwa siku ,ukizingatia ukijitolea mtu hulipwi , sehemu zinazolipa ni chache mno. Hivyo nikaona niulizie maeneo ya huku mpaka gongo la mboto ,mombasa, banana nk.