Natafuta sehemu ya kujitolea, nimesoma clinical medicine

Natafuta sehemu ya kujitolea, nimesoma clinical medicine



1757003031740.png
 
Huu utaratibu naujua na ofisi ya mganga mkuu wa mkoa naijua, na ofisi ya dmo iliyopo mnazi mmoja naijua.

Changamoto hapo zipo 2

1) Utaratibu ni mrefu si ajabu ukasubiri mwezi mzima na bado ukakosa vilevile.

2)Unaweza ukapangia sehemu ukaripoti vizuri wakasema pamejaa , ilishawahi kunitokea kwenye zahanati 3 , zahanati ya kwanza ipo tabata shule ,ipo barabarani kabisa wakasema pamejaa, zahanati ya pili zahanati ya kinyerezi karibu na ukumbi wa the voice, zahanati ya tatu ipo opposite na shule ya ABC capital maeneo ya huku huku .
Sometimes sio mpaka uende huko mkuu ,vituo viko vingi as long unataka ku gain vitu unaweza kwenda kituo cha afya chochote ukawaeleza Maombi yako wakakuelewa ,nikutakie upambanaji mwema
 
Back
Top Bottom