Natafuta sehemu ya kujitolea, nimesoma clinical medicine

Natafuta sehemu ya kujitolea, nimesoma clinical medicine

Ndio,
Sasa utaenda tu sehemu bila kuomba?
Utaratibu mzuri ni huu, unachukua barua ya kujitolea then unapelekea kwa mganga mkuu wa mkoa wao wanakupangia lakini haiguarantee hiyo sehemu uliyopangiwa watakupokea.

Hivyo bora kuanzia mwisho kwa kwenda hospitali/kituo cha afya uwaombe wakakikubali watakupa anwani utapeleka kwa mganga mkuu wa mkoa, yeye atarudisha majibu kwa DMO then unawapa hiyo anwani ya sehemu unayotaka kwenda.
Shukrani kwa kunielewesha clinicians mnatusaidia sana mtaani tunapona bila kwenda kupanga foleni kwenye hospital kubwa.
 
Nenda halmashauri ofisi ya mganga mkuu wa mkoa uliopo, nenda na vyeti vyako vyote, vaa kiofisi na uwe serious mwambie unaomba akupangie kituo cha afya cha kujitolea. Utapewa barua ya kuripoti kituo fanya hivyo haraka na umweleze wazi unapotokea ila usichague kituo maana akikupanga mbali anakupanga sehemu ambazo kuna nyumba za wafanyakazi

Nb. Ukipata kituo kaa mkao wa kuajiriwa serikalini muda wowote ila uombe ajira zikitoka
username required tunaomba j3 jioni ulete mrejesho kwa ulichofanyia huu ushauri.
 
username required tunaomba j3 jioni ulete mrejesho kwa ulichofanyia huu ushauri.
Huu utaratibu naujua na ofisi ya mganga mkuu wa mkoa naijua, na ofisi ya dmo iliyopo mnazi mmoja naijua.

Changamoto hapo zipo 2

1) Utaratibu ni mrefu si ajabu ukasubiri mwezi mzima na bado ukakosa vilevile.

2)Unaweza ukapangia sehemu ukaripoti vizuri wakasema pamejaa , ilishawahi kunitokea kwenye zahanati 3 , zahanati ya kwanza ipo tabata shule ,ipo barabarani kabisa wakasema pamejaa, zahanati ya pili zahanati ya kinyerezi karibu na ukumbi wa the voice, zahanati ya tatu ipo opposite na shule ya ABC capital maeneo ya huku huku .
 
Okay good. Yaelekea wewe ni mpambanaji sana. Sasa nashauri, kwanini usijaribu mechi nje ya Dar es Salaam. ?
 
Okay good. Yaelekea wewe ni mpambanaji sana. Sasa nashauri, kwanini usijaribu mechi nje ya Dar es Salaam. ?
Nilishaenda mpaka hospitali ya kmkm magereza ukonga kujaribu bahati kipindi hicho wakajibu huwa wanawapokea watu wa maabara au pharmacy madaktari wamesitisha maana wanaona kama wanawafundisha upya
 
Mkuu' sikukatishi tamaa ila umri wako pia 32 years, ni parefu sana kwenye kujitolea...

Hakikisha unalipia leseni zako ziwe active ili ikitokea fursa gvt uibukie huko, pia... Anzisha program hasa za Circumcision kama unaona wanakukatalia kujitolea ili uweze kusongesha gurudumu la maisha kwasababu ya Umri wako...

Coz, Am just thinking 32 years now plus volunteering with low payments maybe in 5 years, means you will end up with 37-38years after all routes

CCM tusaidieni na jamii yetu ivuke huu mstari mliotuwekea, ni uchungu na maumivu kwa kizazi chetu 🥲
 
Nimesoma clinical medicine.
Nimemaliza mwaka huu, hivyo ninahitaji kupata sehemu ya kujitolea kupata kujifunza zaidi na kupata uzoefu.
Nimesoma chuo cha private, na changamoto kubwa wa hivi vyuo vya private ni kupata muda mchache wa kufanya mafunzo ya wodini maana chuo chetu hakina hospitali yake hivyo huwa tunategemea kipindi cha clinical rotations.

Umri wangu ni miaka 32.

Jinsia Me

Naishi ukonga moshi bar, hivyo nikipata hospitali/kituo cha afya au zahanati sehemu za karibu na maeneo haya nitashukuru sana.

Mawasiliano yangu ni haya 0758120076.
apply canada kuna visa mpya wanataka watu wakila elimu
 
Mkuu' sikukatishi tamaa ila umri wako pia 32 years, ni parefu sana kwenye kujitolea...

Hakikisha unalipia leseni zako ziwe active ili ikitokea fursa gvt uibukie huko, pia... Anzisha program hasa za Circumcision kama unaona wanakukatalia kujitolea ili uweze kusongesha gurudumu la maisha kwasababu ya Umri wako...

Coz, Am just thinking 32 years now plus volunteering with low payments maybe in 5 years, means you will end up with 37-38years after all routes

CCM tusaidieni na jamii yetu ivuke huu mstari mliotuwekea, ni uchungu na maumivu kwa kizazi chetu 🥲
Nina ishu nje ya hii fani, angalau inanipushi pushi napata ridhiki.

Kwa hiyo sina presha sana .
 
Back
Top Bottom