Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 3,477
- 5,283
Shukrani kwa kunielewesha clinicians mnatusaidia sana mtaani tunapona bila kwenda kupanga foleni kwenye hospital kubwa.Ndio,
Sasa utaenda tu sehemu bila kuomba?
Utaratibu mzuri ni huu, unachukua barua ya kujitolea then unapelekea kwa mganga mkuu wa mkoa wao wanakupangia lakini haiguarantee hiyo sehemu uliyopangiwa watakupokea.
Hivyo bora kuanzia mwisho kwa kwenda hospitali/kituo cha afya uwaombe wakakikubali watakupa anwani utapeleka kwa mganga mkuu wa mkoa, yeye atarudisha majibu kwa DMO then unawapa hiyo anwani ya sehemu unayotaka kwenda.
username required tunaomba j3 jioni ulete mrejesho kwa ulichofanyia huu ushauri.Nenda halmashauri ofisi ya mganga mkuu wa mkoa uliopo, nenda na vyeti vyako vyote, vaa kiofisi na uwe serious mwambie unaomba akupangie kituo cha afya cha kujitolea. Utapewa barua ya kuripoti kituo fanya hivyo haraka na umweleze wazi unapotokea ila usichague kituo maana akikupanga mbali anakupanga sehemu ambazo kuna nyumba za wafanyakazi
Nb. Ukipata kituo kaa mkao wa kuajiriwa serikalini muda wowote ila uombe ajira zikitoka
🙏La kila lenye kheri mkuu
🙏Shukrani kwa kunielewesha clinicians mnatusaidia sana mtaani tunapona bila kwenda kupanga foleni kwenye hospital kubwa.
Huu utaratibu naujua na ofisi ya mganga mkuu wa mkoa naijua, na ofisi ya dmo iliyopo mnazi mmoja naijua.username required tunaomba j3 jioni ulete mrejesho kwa ulichofanyia huu ushauri.
Kuna watu huwa kila thread hadi wachangie tu inasikitisha kweli yani na unaweza kuta hana ishu yoyote ile.Samahani mkuu, kwani wewe unaishi nchi gani huko ambapo hawaombi kujitolea?
Okay good. Yaelekea wewe ni mpambanaji sana. Sasa nashauri, kwanini usijaribu mechi nje ya Dar es Salaam. ?Huu utaratibu naujua na ofisi ya mganga mkuu wa mkoa naijua, na ofisi ya dmo iliyopo mnazi mmoja naijua.
Changamoto hapo zipo 2
1) Utaratibu ni mrefu si ajabu ukasubiri mwezi mzima na bado ukakosa vilevile.
2)Unaweza ukapangia sehemu ukaripoti vizuri wakasema pamejaa , ilishawahi kunitokea kwenye zahanati 3 , zahanati ya kwanza ipo tabata shule ,ipo barabarani kabisa wakasema pamejaa, zahanati ya pili zahanati ya kinyerezi karibu na ukumbi wa the voice, zahanati ya tatu ipo opposite na shule ya ABC capital maeneo ya huku huku .
Nina ishu zangu nazitegemea kuniingizia mia 2 mia 3 .Okay good. Yaelekea wewe ni mpambanaji sana. Sasa nashauri, kwanini usijaribu mechi nje ya Dar es Salaam. ?
Ndio utaratibu huo ninataka kuufata japo nimekuja na huku kupanua wigo .Nenda kituo unachotaka kujitolea, onana na incharge wa kituo, mweleze atakupa utaratibu wa kufuata.
Nilishaenda mpaka hospitali ya kmkm magereza ukonga kujaribu bahati kipindi hicho wakajibu huwa wanawapokea watu wa maabara au pharmacy madaktari wamesitisha maana wanaona kama wanawafundisha upyaOkay good. Yaelekea wewe ni mpambanaji sana. Sasa nashauri, kwanini usijaribu mechi nje ya Dar es Salaam. ?
apply canada kuna visa mpya wanataka watu wakila elimuNimesoma clinical medicine.
Nimemaliza mwaka huu, hivyo ninahitaji kupata sehemu ya kujitolea kupata kujifunza zaidi na kupata uzoefu.
Nimesoma chuo cha private, na changamoto kubwa wa hivi vyuo vya private ni kupata muda mchache wa kufanya mafunzo ya wodini maana chuo chetu hakina hospitali yake hivyo huwa tunategemea kipindi cha clinical rotations.
Umri wangu ni miaka 32.
Jinsia Me
Naishi ukonga moshi bar, hivyo nikipata hospitali/kituo cha afya au zahanati sehemu za karibu na maeneo haya nitashukuru sana.
Mawasiliano yangu ni haya 0758120076.
Nina ishu nje ya hii fani, angalau inanipushi pushi napata ridhiki.Mkuu' sikukatishi tamaa ila umri wako pia 32 years, ni parefu sana kwenye kujitolea...
Hakikisha unalipia leseni zako ziwe active ili ikitokea fursa gvt uibukie huko, pia... Anzisha program hasa za Circumcision kama unaona wanakukatalia kujitolea ili uweze kusongesha gurudumu la maisha kwasababu ya Umri wako...
Coz, Am just thinking 32 years now plus volunteering with low payments maybe in 5 years, means you will end up with 37-38years after all routes
CCM tusaidieni na jamii yetu ivuke huu mstari mliotuwekea, ni uchungu na maumivu kwa kizazi chetu 🥲
🙏All the best chief
🙏All the best ....